Siku hizi anajiita Bill Lugano[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] Kidukulilo ze boooosiiiii
Hivi nikivunja kibubu kweli hiki kitanishinda?
Tumuulize KIMOMWEMOTORS , hiki kinauzwa bei gani🤣Hivi nikivunja kibubu kweli hiki kitanishinda?
Kidukulilo ndo Countrywide, sikuhizi kaja kivingine.Usikute jamaa ni mlalahoi kama mimi au kushinda mimi au hata kuwa na kama hicho umemsingizia!