Kiduku kikikolea

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,715

Chezea mziki wewe? Ila nina mashaka na mauno ya huyu jamaa maana kabinuka alafu anaangalia mzigo wake.
 

Attachments

  • 1902935_10152242590839345_935161115_n.jpg
    82.1 KB · Views: 2,330

Chezea mziki wewe? Ila nina mashaka na mauno ya huyu jamaa maana kabinuka alafu anaangalia mzigo wake.
hebu subiri kwanza niangalie tena hii mauno ina jinsi sio kiduku nachokijua mbona anayapiga macho hiyo nyonga.
 
Mwenzenu mzuka umempanda wajameni.. mwacheni ajiachie.
 
Hata huyu mwenye kamera nae mhhhhh namashaka nae kuwa mzuka nae ulikuwa unamnyemelea....
 
Halafu Obama akisema tambueni haki zao mnaanza - oho huku kwetu hakuna hiyo mambo.....!
 
Ptuuuuu kama toto langu ntalitia makwenzi ya hatari
 
Hiyo style ya kucheza inaitwa "MAMBO IKO HUKU, WENYE WIVU WAJIONYONGE"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…