Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,254
- 907
kaka sitaki kuleta siasa hapa, especially coz am not into politics. but huyo mzee wetu alikuwa backward minded. and I have an open mind, am calling the spade a spade. it's him and peeps like him that have made our great country light-years behind our neighboring friends (case in point Kenya). kama unabisha, kaishi pale Kenya mwaka, uniambie. nasema this from experience. having lived in Kenya for the greater part of my life, nilipenda how everything there is driven. sure mnaweza sema they are not as peaceful as us.. blah, blah but ukweli ni kwamba hawa leaders wetu are killing us. and we take it lying down because thats what our great leader left us with.
funguka macho kaka, funguka akili
Hiyo ndiyo lugha gani, kiswanglish au ni utumbo gani...! Mwl. Nyerere hakukosea aliposema,
"...hata kitu cha kijinga kikizungumzwa kwa kizungu, mswahili huona ni jambo la maana sana."-Mwl. Nyerere.