JuaKali
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 776
- 119
LOL, kidole gumba kwenye herufi F na J? Index fingers ndo zinatumika. Gumba ni kuweka space.mkuu wakati tunajifunza Ku type miaka iyo ni kuwa wakati unaaza kutype kwenye Microsoft word,kidole gumba cha mkono wa kushoto ukaa kwenye herufi F na gumba la kuliA ukaa kwenye herufi J,then unapanga vidole kwenda kulia na kushoto,kwa iyo katikati ubaki herufi ya G and H ,kwa iyo izo a lama umsaidia MTU kujua starting point...kwa masekretari iyo umfanya ataype bila hata kuangalia keyboard.........