Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

rahisi tu hii piga kivuri chake uone
 
Mkuu kidono ni nzuri
Kwa mfano nikiwa vitani na nimechanjia risasi haitaingia na nitaipataje.!?
Thubutu. Utachapika hadi uchakae. Hayo mambo yanafanya kazi kwa mazingira ya kichawi tu. Kwenye sayansi wanafubaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…