Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

Duuh so uchawi kweli?
 
Kidogo ni chanjo inayowezesha mtu asiweze kujeruhiwa endapo atapigwa na kitu kama panga au chochote kile..na kinkuti huweza mtu kuwa na nguvu na morali..chanjo hz Mara nying zinapatikana mkoa wa kigoma na wanaozitumia zaidi ni majambazi..
 
Mkuu kidono ni nzuri
Kwa mfano nikiwa vitani na nimechanjia risasi haitaingia na nitaipataje.!?
 
Duuuuuuuuuu
 
Sio kweli.
Kigoma hatuna rekodi za kuwa na majambazi.
Watu wengi tu wanavyo mbona hamna ujambazi wowlte.
Sijasema kuwa wakigoma ndio majambazi,ila chanjo hz waganga wa kigoma ndio wataalam sana ,lengo ni kutoa Kinga kwa watu ila majambazi kutoka sehem mbali mbali wanazitumia sana chanjo hz kwaajil ya kazi zao.unaweza kukuta jambazi kakamatwa na kupigwa mapanga na marungu na kufa mtu lkn bado hafi kirahisi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…