Mkuu kama kuna madawa uliandikiwa na kama tatizo linafanana basi zitafute documents umpatie ili ampe huyo kijana wetu, kwa njia hii utakuwa umemsaidia pia. Pia inafaa kuvaa nguo zisizobana wakati kama huu wa kutumia dawa.mwambie aacha kijukuna na awe msafi. Kwa bongo sina uhakika, Ila Angekuwa yuko Uku India ningem-direct kwa Daktari mzuri, (specialist wa mambo hayo). Hata mimi mwaka jana nilikuwa na hilo tatizo. nashukuru Mungu huyo Daktari alinisaidia. Na sasa niko poa
Wakuu naomba mumsaidie mdogo wangu anasumbuliwa na kidonda kwenye kichwa cha uume.
Kilianza kama ngozi iliyobabuka au fungus , kukojoe huku anasikia raha na muwasho,lakini sasa kuna kidonda kwenye kichwa na hawezi kuvaa nguo yeyote sasa.
Tafadhali naombeni matibabu yake ili nikamsaidie.
Alienda hospitali akapimwa damu na mkojo, dr akamwambia hana maambukizi yeyote hata kaswende ambayo dr alidhani, haikuwepo.
Alipewa Ampiclixilian na dawa ya kupaka, ila mpka sasa siku ya tatu, kidonda kinazidi kutkua na kutoa maji na usaa.
Mkuu kama kuna madawa uliandikiwa na kama tatizo linafanana basi zitafute documents umpatie ili ampe huyo kijana wetu, kwa njia hii utakuwa umemsaidia pia. Pia inafaa kuvaa nguo zisizobana wakati kama huu wa kutumia dawa.
Chukua mmea wa Aloevera kamulia hapo yale maji maji yake kwa siku tatu,utaona mabadiliko!!
Septrin pia ni dawa nzuri kwa serious infection kama hiyo!
hope this is not 'nina rafiki yangu syndrome'. Yawezekena ni chupi za mtumba zimesababisha ama ni kaswende. Kwani dogo ana umri gani?
30 years old.
mwambie aacha kijukuna na awe msafi. Kwa bongo sina uhakika, ila angekuwa yuko uku india ningem-direct kwa daktari mzuri, (specialist wa mambo hayo). Hata mimi mwaka jana nilikuwa na hilo tatizo. Nashukuru mungu huyo daktari alinisaidia. Na sasa niko poa
shetani haji kwa kusikia bali hata kunusamkuu ikena nahisi mgonjwa wewe mwenyewe ha ha ha ha.