Kidogo niumbuke- Kazidondosha nikishuhudia!

Kidogo niumbuke- Kazidondosha nikishuhudia!

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,427
Reaction score
10,749
Huyu dada sijamuelewa! Jana jioni alipita na kikanga kimoja na t-shirt nyeupe. Nilivyomkaribia kanga ikadondoka! Haaa, kumbe kavaa chupi tupu nyeupe?
Nilijikaza nikaondoka zangu. Leo tena asubuhi wakati nafata ka nusu lita ka maziwa, nimekutana nae anatokea kwao, alinipita kidogo huku akiyatikisa, mara kanga ikaanguka! Oooh, leo mbaya sana hajavaa kabisa kufuli. Mmmh, mbona suruali yangu ya kitambaa inaota mlima?

Haka katabia wadada na wamama imekuwa mazoea. Hampendi kuvaa kitu kwa ndani zaidi ya chupi au tight huku mmefunika kanga tu hata kama mna ka safari karefu. Hivi mna maana gani? Wengine hatutaki haya mavishawishi bana! Badilikeni...

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Siyo wote bwana
hilo jitu litakuwa linajiuza kazi ni kwako biashara matangazo na ukijua wakati huu wa sikukuu kuna bei punguzo kamata fursa kijana
 
Mmh ...kaka nawewe unabahati basi...ka sio miteego..
 
Raha ya swala umuwinde wewe! Tangu lini SIMBA AKAWINDWA NA SWALA!!!!!!!!!????

mwezi wa nane mwaka huu nilicheka sana kwenye vituko vya BBC na Salum Kakeke alipoweka kituko cha nyani anafanya mchezo wa ajabu, yaani kashikilia tawi la mti lefu inakaribia kufika chini, anashikilia kwa mkono mmoja, anaswing mpaka chini then anampiga kibao simba then anarukia mtini, simba akitaka kuondoka, nyani anarudi ghafla na kashikilia mkia wa simba...simba akishtuka,nyani anarudi mtini....nlicheka sana...simba aliteseka yaani akaondoka mdogo mdpgo utadhani ni kondoo....nyani alimdhalilisha sana simba...labda ndo ya huyu jamaa, nyakati zinabadilika...........
 
Back
Top Bottom