Wakati mwingine huwa najiuliza: hivi kabla ya kuweka haya mabango, hao wenye hiyo miradi ama makandarasi huwa hawachukui muda kidogo kuhakiki maelezo yote na lugha pia kwamba ni sahihi ama la??!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.