Kichwa , Mkia , Kiuno ?

Mimi samaki kwenye mkia tu bhaaas. Utamu wa samaki mkia bana. Na fahari ya kondoo mkia.
 
Mimi samaki kwenye mkia tu bhaaas. Utamu wa samaki mkia bana. Na fahari ya kondoo mkia.

Nimekusoma Kiongozi !
Kia naambiwa supu yake hata katika yale mambo yetu linafanya vema.
 
Kwani samaki anakiuno jamani hebu nifahamisheni namimi nijaribu ladha ya kiuno cha samaki

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
weye shemeji weye, mi huwa nala kisamaki chote. sasa kanembe kalivo kadogo ntaezaje kukagawanya? Judgement
 
Last edited by a moderator:
weye shemeji weye, mi huwa nala kisamaki chote. sasa kanembe kalivo kadogo ntaezaje kukagawanya? Judgement

Nembe atakua na kimo cha kardri !
Kanembe katakua kadogodogo!
Jinembe litakua jisamaki kubwa!
Sasa jielekeze au umzungumzie jinembe !
 
Last edited by a moderator:
Kwani samaki anakiuno jamani hebu nifahamisheni namimi nijaribu ladha ya kiuno cha samaki

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2

Alokwambia samaki hana kiuno nani ?
 
my wife wangu Dena Amsi yeye anapenda kichwa bana
Yaani ukimkuta anavyokipata ni balaa Judgment nilikuita tuu wala sio salam mkuu

Kweli utamu uko kwa kichwa cha samaki wa ukweli kama sio wa ukweli sijui.....Maana Judgement hapa mie simuelewi elewi........
Mr Rocky utaniletea samaki kesho.???
 
Last edited by a moderator:
Nembe atakua na kimo cha kardri !
Kanembe katakua kadogodogo!
Jinembe litakua jisamaki kubwa!
Sasa jielekeze au umzungumzie jinembe !

jamani nembe huwa hawakui sana,daima huwa wadogo wadogo. ndo mana nkakaita kanembe!
 
mf! Mie KIA linanikosha . . .ila kama hamna KIA hata UNO nala sana. . .sema KIA ndo my fav.
 
samaki ana vipande vingapi? vitatu hebu vitajeeee kichwa, kiuno , mkiaaaaa.
achana na mkia nduguuu
 
jamani nembe huwa hawakui sana,daima huwa wadogo wadogo. ndo mana nkakaita kanembe!

Sasa nikuulize swali na mate yasikujae mdomoni kujibu!
Hivyo ulivyomwita huyo fish Kanembe!
Huyo atakua ni mmoja , wakiwa watatu utawaitaje?
Shem hebu utangazie uma fasta, usiingie kunako miti .
 
Sasa nikuulize swali na mate yasikujae mdomoni kujibu!
Hivyo ulivyomwita huyo fish Kanembe!
Huyo atakua ni mmoja , wakiwa watatu utawaitaje?
Shem hebu utangazie uma fasta, usiingie kunako miti .

vi.ne.mbe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…