Chris Kamlenga
Member
- Oct 17, 2017
- 30
- 35
niko Kigoma,na baada ya kwenda hospitali kisha kukosa dawa watu wengi walisema inatibiwa kiasili zaidiJaribu kwenda Hospital ya CCBRT DAR ES SALAAM UKAULIZIE MKUU LABDA
Kwahiyo huko mwanza naipata namna gani jombaa,maana kuna ndugu yangu huko naweza kumpa taarifa na akaniagiziaNzasa nzasaaa ni kutoka mwanzaaa?
ulienda CCBRT?niko Kigoma,na baada ya kwenda hospitali kisha kukosa dawa watu wengi walisema inatibiwa kiasili zaidi
hapana sijaendaulienda CCBRT?
Asante bro,nitafanya hivyo hakikaChukua mkaratusi ponda majani yake loweka yakae nusu SAA kisha mnyweshe kupitia puani kwenye kijiko kidogo kimoja kila siku asubuhi na jioni, nyingine muogeshee kichwani, kuna jomba langu ilitokeaga hivyo but now kichwa kipo vizuri iseee tena cha kunyoa fank nzuriiiiki
Halafu mnaenda morning glory au?🤔Hili tatizo halitibiwi hospital, sisi wazazi huwa tunamchapa nao kichwani asubuhi kabla ya morning glory. Na ndani ya masaa 36 kijana anakua poa kabisa...😎😎
Mkuu, kanga hazai ugenini na kawaida ni kama sheria....[emoji847][emoji847]Halafu mnaenda morning glory au?[emoji848]
Wakielezea nitag mkuuuKuna uhusiano gani wa kumchapa mtt na mzig na kupona hicho kitu kuna vitu vinaumiza sana kichwa heb wajuvi au wahenga tupeni elimu
Kuna uhusiano gani wa kumchapa mtt na mzig na kupona hicho kitu kuna vitu vinaumiza sana kichwa heb wajuvi au wahenga tupeni elimu
Wewe fanya kile unachoambiwa mradi hamna athari yeyote.Kuna uhusiano gani wa kumchapa mtt na mzig na kupona hicho kitu kuna vitu vinaumiza sana kichwa heb wajuvi au wahenga tupeni elimu
kunenepa sio afyaHabari zenu ndg,jamaa na marafiki katika JF,
Hivi ni nini tiba ya mtoto ya kuondoa mfereji kwenye kichwa cha mtoto maana mtoto wangu ana hilo tatizo,yaani bonde limeanzia kwenye paji la uso hadi kwenye utosi.
Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana,wengine wanasema nitumie dawa inayoitwa kasuku,wengine nitwange matembele kisha nichanganye na mafuta ya ng'ombe, mara maji na mbegu za nyanya lakini vyote havijasaidia kabisa na hospitali hakuna dawa yoyote ya kutibu tatizo hilo.
Watu wengine wanasema mtoto akiwa na tatizo hilo hawezi kunenepa na kupata afya nzuri lakini pia huenda kichwa kikawa kama kimegawanyika,naomba ushauri wenu nifanye nini ili mwanangu apone?