Kichwa kinauma!!!!

Kichwa kinauma!!!!

Fox,

Pole endelea tu maisha yako huyo ndio basi tena! ameonja asali akachonga mzinga.

Sitaki yakukute yaliyomkuta swhaiba wangu.
 
Fox,

Pole endelea tu maisha yako huyo ndio basi tena! ameonja asali akachonga mzinga.

Sitaki yakukute yaliyomkuta swhaiba wangu.

Ndugu yangu,tell us it might be helpful to me and others,si unajua jukwaa ni letu,pls tuambie ili tuendelee kujifunza................
 
Mambo zenu wanaJF,
Jamani naombeni ushauri wenu sijui nifanyeje,nimekuwa ktk mahusiano na mpnz wangu since feb 2011,tumefight na kukumbana na mambo kibao tangu chuo lakini kwa sasa kuna kila dalili kuwa ameshapata mtu mwingine so ananipush aside,kwakweli binti huyu nampenda sio kawaida na sikuwa na mpango wa kumchezea tu afu nisepe nlikuwaa na mpango nae kbs,kwa jinsi nimpendavyo sina amani kwa jinsi mambo yanavyoenda yani mpk naweza kusema kwa ss ni kama tumesha achana mana nimemuuliza akasema anataka kupumzika for 7months ila najua hiyo ni danganya toto mana dalili nlishaziona zamani,HIVYO WANAJF NAOMBENI MSAADA WENU KIMAWAZO NIFANYEJE KUMSAHAU HUYU BINTI MAANA KICHWA KIZIMA KINAMUWAZA YEYE YANI HATA SIJUI KWANINI NAMPENDA KIASI HIKI COZ NIMESHAJARIBU MARA KIBAO NASHINDWA KUMSAHAU KABISA,WAZOEFU EBU NYAMBIE MLIFANYAJE KUWASAHU MAEX WENU.................


NB:NAOMBA MSAADA SIO MAJUNGU,KEJELI AU MATUSI,NI BORA HUSICHANGIE KAMA UNA ELEMENT HIZO.
AHSANTE

Kwanza naomba nikuulize maswali yafuatayo: unampango gani naye? hiyo mipango yako kwake umeshawahi kumshirikisha? mmeshawahi kukaa mkapanga mambo yenu ya baadaye i.e ndoa, maisha baada ya ndoa, mambo ya maendeleo? Kama haujawahi kufanya chochote kati ya hivi inaweza ikawa ni sababu ya kutoswa.

Ninavyojua mimi hakuna uchumba wa miaka 3, ndani ya mwaka mmoja unao uwezo wa kujua girlfriend uliye naye ndie au siye. Sasa miaka yoye hiyo unamuweka mtoto wa mwenzio mnafanya nini? au ndio unataka kumtumia awe kiburudisho chako? Huyo dada ameshaona kwako there is no future. Na inawezekana ameshakwambia mara nyingi kuhusu swala hili lakini umekuwa unampotezea. Hapo hakuna utata wowote kwamba ameshapata mtu mwingine. Tumezoea kuwalaumu wanawake kwamba hawajatulia kwa hili nakataa wakati mwingine na nyie wanaume mnasababisha wadada wafanye haya wanayofanya. Jipange, usimpotezee muda dada wa watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom