Kichwa kinauma!!!!

fox

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
342
Reaction score
670
Mambo zenu wanaJF,
Jamani naombeni ushauri wenu sijui nifanyeje,nimekuwa ktk mahusiano na mpnz wangu since feb 2011,tumefight na kukumbana na mambo kibao tangu chuo lakini kwa sasa kuna kila dalili kuwa ameshapata mtu mwingine so ananipush aside,kwakweli binti huyu nampenda sio kawaida na sikuwa na mpango wa kumchezea tu afu nisepe nlikuwaa na mpango nae kbs,kwa jinsi nimpendavyo sina amani kwa jinsi mambo yanavyoenda yani mpk naweza kusema kwa ss ni kama tumesha achana mana nimemuuliza akasema anataka kupumzika for 7months ila najua hiyo ni danganya toto mana dalili nlishaziona zamani,HIVYO WANAJF NAOMBENI MSAADA WENU KIMAWAZO NIFANYEJE KUMSAHAU HUYU BINTI MAANA KICHWA KIZIMA KINAMUWAZA YEYE YANI HATA SIJUI KWANINI NAMPENDA KIASI HIKI COZ NIMESHAJARIBU MARA KIBAO NASHINDWA KUMSAHAU KABISA,WAZOEFU EBU NYAMBIE MLIFANYAJE KUWASAHU MAEX WENU.................


NB:NAOMBA MSAADA SIO MAJUNGU,KEJELI AU MATUSI,NI BORA HUSICHANGIE KAMA UNA ELEMENT HIZO.
AHSANTE
 
hujajua thamani ya afya yako,na nini unakitaka ktk maisha hususan ktk uwanja wa mapenzi,penda unapopendwa bro hukuzaliwa nae tumbo moja mmekutana vitovu vimekauka, fanya mambo ya maendeleo utampata aliye tayari kuwa naww.
 
kubali tu,is over ingawa ni ngumu.ji keep busy na jichanganye sana na watu.ukiboreka ingia jf utaburudika tu.huyo dada muache na maisha yake.ukipenda sana ukiachwa maumivu yake usipime
 
Jaribu kufanya mambo ambayo hayahusiani na mapenzi, epuka muda mwingi kukaa alone.
Kama wapenda michezo, gym n.k basi ndio wakati pekee wa wewe kufanya hizo activities.
 
with time ,you will be healed every thing...sio peke yako kupitiwa unayopitia
 
Huo ndo ukomavu wa mapenzi hebu kubalri kuachwa ndipo siku moja utakuwa mkomavu.
mtu akitaka kuondoka huwa hang'ang'aniwi maana sio mbwa huyo labda useme utanunua mnyororo umfunge.
MAISHA NA AFYA YAKO NI BORA KULIKO HUYO TAKATAKA WAKO UNAEMLILIA.
 
mara ya mwisho kuwa na hisia kama zako ilikuwa mwaka 2004...pole mkuu
 
Ushauri nitakaokupa utategemea majibu ya maswali fulani nitakayokuuliza. Hata hivyo maswali menyewe ni personnal sana, may be tujadili kwa PM
 
Anahitaji likizo ya mapenzi ndefu kuliko maternity leave, haaaa!
Muambie wewe unataka kustaafu kabisa manake huwezi kustopisha maisha yako kwa 7months.
Jinsi ya kumsahau sasa......umeshapata kazi? Kama bado weka nguvu na mawazo kwenye kusaka kazi. Kama vipi unamudu anza kusoma tena. Utakuwa busy hadi utajipenda and who knows kama hautokutana na mke uliepangiwa huko?
 
Tafuta hela mengine yote utazidishiwa.
 
We tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi. Huyo binti wala humpendi kiivo ila baada ya kuona unakuwa pushed aside ndio unaanza kun'gang'ania. Ni reaction tu ambayo hutokea automatically pale unapohisi kuzidiwa ujanja. Jipe muda utamsahau, usihangaike kutaka kumrudisha utapoteza muda wako bure na utazidi kujiumiza.
 

pole kwa maumivu,
kua mtu wa kujimix kwa sana
usikae peke yako kwa muda mwingi
soma vitabu,nenda mazoezi,fanya
vile vitu unavyopenda,hujazaliwa nae
utapata atakaekupenda kwa dhati!!!jikip buyz!!!
 
hiki kisa naona kuna kisa kilinishanipata kama hiki ila nilichokifanya. ila siku nilipoamua kuachana naye kiakili hakika hadi leo huwa nafanya mambo yangu safi na yeye ndiye anajita tena maana kuna siku huwa ananiandika sms kwenye simu lakini msimamo wangu uko pale pale
 

Jitahidi kuamini na kukubali ukweli uliopo. Jiweke bize na kufuikiria mambo yako mengine ya kimaendeleo, with time utamsahau. Kumbuka kuwa kulazimishana mapenzi huwa hakuna mwisho mzuri.
 
Utakuwa ulikuwa una mkono wa birika, haukumpa matumzi anayoyataka, ma outing ya maana

sasa amepata wa kumpa, ndio maana anaku escape ki aina
 
Ushauri nitakaokupa utategemea majibu ya maswali fulani nitakayokuuliza. Hata hivyo maswali menyewe ni personnal sana, may be tujadili kwa PM

Ahsanteni sanaa wanaJF yote nimeyasikia na nitayafanyia kazi,@TUNA uliza chochote ndugu yangu ata kama ni personal ntakujibu tu,iam not ashamed of my self ndo mana nimeamua kuliweka swala hili public......
 
mkuu pole sana kwa hayo yaliyokusibu jipe moyo na usonge mbele maana upo muda utapata wa kukufaa.Kweli mapenzi yanaumiza ila binafsi namshukuru Mungu kwan sijawahi kuwa katika hali kama hiyo,sikia tu kwa mtu ila omba yasikutokee
 
Usitaka kudhuru afya yako upate msongo wa mawazo ufe bure. Kubali yaliyotokea, wewe sio wa kwanza. Mrudie Mungu na muombe akupe mwingine atakayekupenda kwa dhati. Huyo anaonekana alikuwa anakutafuna mambo fulani yameisha basi....si unajua mademu wa vyuo zao.... anawapanga hadi akiona anyemfaa ndio.... Usiumize kichwa tena mtemelee mbali kama KOHOZI huyoooo
 

Ahsante ndugu yangu,Nimeipenda hii!!
 
asume amekufa! akifa utazikwa nae?!!! haiwezikani utaendele kumuwaza lakini ndio hivo hayupo nawe tena, ni kukubali matokeo ili maisha yaendelee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…