Mama yenu saa hizi akikupiga na kesi ya ugaidi, anaenda nyumbani kwako, anang'oa umeme, anakung'olea na huduma ya maji safi.Ndio man of the match mpaka sasa.. Nyota wa mchezo
Kwa nafasi yake TEC angeweza kuteua mwinginr kuongoza wanazuoni waseja kwenda Dodona ikulu ndogo kukumbushia nyaraka zao za nyuma ama kuzifafanua kwa waliojipachika madaraka
Hiyo inaitwa ... Usiyempenda kaja... Kaongoza vema jopo la wasomi nguli.... Na baada ya siku mbili tatu ndiye kajitokeza kwenye vyombo vya habari kutoa mrejesho na kufafanua yaliyojiri
The same day kukawa na mechi ya watani wa jadi ikiambatana na tamasha la Kizmkaz!
Kwa mshangao na taharuki kuu.. Yote hayo hayakuweza kumfunika Fr. Dr. Kitima na TEC.. Kumbuka sirikali yote haramu ilikuwa kizmkaz.. Hivyo sehemu kubwq ya vyombo vya habari vilikuwa huko!
Tunamaliza wiki kea kishindo cha tatu bila.. TEC vs chama cha majambaziView attachment 3650822
Hatari sana
Umeona ehh.Chawa kama kiroboto
Wenzio wanaongoza nchi ,nyie mnapiga kelele..π π Poleni sana ,TEC na CHADEMA kufanya mapinduzi imeshindikana sasa mnabweka ... Tatizo sio wajanja .
Ina maana hujui tu waliopanga njama ya kipindua nchi ? Taifa litaendelea kuwepo salama mpaka pale chama cha upinzani kisiwe cha kanisa ,kiwe cha watu wote ndiyo kinaweza kupewa nchi.Ni kweli nchi inaongozwa. Tunapenda kujua pia inaongozwaje kwa kusikia maoni tofauti tofauti. Na katiba inaruhusu by the way.
Halafu, kuna short and long term goals. Haya nayo yatapita kwa haraka kama upepo. Ila historia kama kawaida yake inayaandika na kuhakikisha vizazi hata vizazi wanaelewa mtiririko mzima wa uwepo wa Taifa letu.
Siwajui maana mimi sio mtu wa usalama. Nilisikia Lisu ana kesi ya uhaini ambayo hata sijui inaendeleaje? Kina nani hao waliopanga kupindua nchi? Na kwanini hawashughulikiwi?Ina maana hujui tu waliopanga njama ya kipindua nchi ? Taifa litaendelea kuwepo salama mpaka pale chama cha upinzani kisiwe cha kanisa ,kiwe cha watu wote ndiyo kinaweza kupewa nchi.
Kesi yake iko wazi ni vile serikali kama inamuonea huruma ,ila yeye anajifanua kichwa ngumu..Iko wazi analeta utoto ,eti kukinukisha harufu nzuri π π π Utoto huu .Siwajui maana mimi sio mtu wa usalama. Nilisikia Lisu ana kesi ya uhaini ambayo hata sijui inaendeleaje? Kina nani hao waliopanga kupindua nchi? Na kwanini hawashughulikiwi?
Mama ana deka huyu πMama yenu saa hizi akikupiga na kesi ya ugaidi, anaenda nyumbani kwako, anang'oa umeme, anakung'olea na huduma ya maji safi.
kwamba Kitima huyu huyu mlevi ndio kichomi?Ndio man of the match mpaka sasa.. Nyota wa mchezo
Kwa nafasi yake TEC angeweza kuteua mwinginr kuongoza wanazuoni waseja kwenda Dodona ikulu ndogo kukumbushia nyaraka zao za nyuma ama kuzifafanua kwa waliojipachika madaraka
Hiyo inaitwa ... Usiyempenda kaja... Kaongoza vema jopo la wasomi nguli.... Na baada ya siku mbili tatu ndiye kajitokeza kwenye vyombo vya habari kutoa mrejesho na kufafanua yaliyojiri
The same day kukawa na mechi ya watani wa jadi ikiambatana na tamasha la Kizmkaz!
Kwa mshangao na taharuki kuu.. Yote hayo hayakuweza kumfunika Fr. Dr. Kitima na TEC.. Kumbuka sirikali yote haramu ilikuwa kizmkaz.. Hivyo sehemu kubwq ya vyombo vya habari vilikuwa huko!
Tunamaliza wiki kea kishindo cha tatu bila.. TEC vs chama cha majambaziView attachment 3650822
Halafu anafunga Akaunti zako zote za Benki, mpaka za mitandao ya simu. Unakua omba omba.Mama yenu saa hizi akikupiga na kesi ya ugaidi, anaenda nyumbani kwako, anang'oa umeme, anakung'olea na huduma ya maji safi.
Mnyama kabisa. Mtawala dhalimuHalafu anafunga Akaunti zako zote za Benki, mpaka za mitandao ya simu. Unakua omba omba.
Kesi yake iko wazi ni vile serikali kama inamuonea huruma ,ila yeye anajifanua kichwa ngumu..Iko wazi analeta utoto ,eti kukinukisha harufu nzuri π π π Utoto huu .
Imekuwa bahati nzuri leo; nilikuwa nawachanganya, kumbe ni watu wawili tofauti!Kwanini inamuonea huruma? Kesi kama hizi za mpaka ugaidi ziko ngapi?
Interesting.....ππππ
Tazama ujinga kama huu hapa. Unaweza kukisia kuwa huyu mtu kuna jambo analolielewa sawasawa?Kesi yake iko wazi ni vile serikali kama inamuonea huruma ,ila yeye anajifanua kichwa ngumu..Iko wazi analeta utoto ,eti kukinukisha harufu nzuri π π π Utoto huu .
Imekuwa bahati nzuri leo; nilikuwa nawachanganya, kumbe ni watu wawili tofauti!
Huyo mwenzako naona yuko ngazi ya chini kabisa ya ufahamu. Ni mjinga; halafu kachanganyikiwa na udini humo humo.
Tazama ujinga kama huu hapa. Unaweza kukisia kuwa huyu mtu kuna jambo analolielewa sawasawa?