Kuna kitu kinaitwa etiquette..... yaelekea hajafundishwa huyu
Hahahhaa
Huyo mpiga picha nae mfukunyuku balaaa
cheka unenepe
Kuna kitu kinaitwa etiquette..... yaelekea hajafundishwa huyu
Labda alikuwa anapumua kiaina!e banaa ee! kulikuwa na haja gani ya kunyanyua huo mguu??
Kama ingekua hivyo JK wetu si angeshapasuka.
View attachment 71594
Ningependa kujua nini kimewachekesha kiasi hicho!