uuuuwi haya kichekesho kimepungua kidogo nakumbuka hv hapo kwa wangoni nakumbuka mngoni mmoja aliomba lifti alikuwa na mke wake na watoto wadogo mwenye lori akamwambia mama kaa mbele na watoto na mzee kaa nyuma waliposhuka akamshukuru dereva akisema '' ASANTI DEREVI KWA KUMTII MKE WANGU NA WATOTO WANGU MBELE NA MIMI KUNTII NYUMA NASHIKURI SANA'' lol sina mbavu
Khaaaa! Mpk simba machoko, haifai hii jamani.Siku moja nyani alichoka kuishi akatafuta all means ya kujiua akashindwa!akamfata simba alielala na kumchokoza ili aliwe afe!basi alienda akamtia kidole" NYUMA"mpka simba akaamka.simba akauliza..ni nan huyo?NYANI:ni mimi..!simba akauliza,kuna yeyote kaona?NYAN:hapana..!SIMBA:basi fanya tena..!
Kichekesho changu cha mwaka ni kile cha mchina, mjerumani na mtanzania kushindana kwa teknolojia nchini kwao ambapo mchina alizaliwa mtu hana mikono walimwekea ya bandia akawa bingwa wa masumbi (kama sikosei), na mjerumani alizaliwa mtu hana miguu, wakamwekea miguu ya bandia akaja akawa bingwa wa olimpic mara 3 mfululizo kilishonifurahisha ni ilew mtanzania kuwaambia wenzake cha mtoto
Kwao alizaliwa kijana karibu na bagamoyo hana kishwa, wakamwekea nazi na sasa ni rais wa nchi
Hii sitoisahau, nilisheka ilikuwa usiku hadi jirani yangu alikuja kunigongea geti kuna nini huku jirani salama?