Wallah siku diamond akifa na watu wataigiza kufa ili wagawane kiki na Marehemu
..
Maana watu wamepaniki mbayaaa...Diamond imemchukua miaka zaidi ya 5 kuijenga WCB mpaka leo ikawa imesimama imara kabisa..
Lazima ujenge misingi kwanza yakudumu ndipo uanzishe Label,wasanii wengi wanafanya vitu kwasababu wanaviona na sio kwasababu walijenga misingi ya vitu hivyo..
Diamond amejipanga haswa,ndio maana kila Attack linaloikuta WCB haitetereki!!bado inasimama imara na inazidi kung'aa..
Sasa hiyo ni label au umoja wa marafiki?!
..mtu kama Abbyskills atakuletea faida gani zaidi ya hasara?!mtu ameshajichokea huko,keshazeeka mwenyewe...au Abdu Kiba!hana kipaji chochote kwenye muziki,hajui kuimba wala kucheza,anaimba tu kwasababu amemuona kaka yake Ali anaimba basi na yeye akaona bora atumie jina la Baba,Hapo kiba anapoteza hela tu..
Halafu Ommydimpozi wala sio mtu wa kumwamini ukasema umweke kwenye Label yako...siku mukikorofishana tu basi anahamia label nyingine na Matusi juu...Ukiona rafiki yako uliyenae anatoa siri za Rafiki yake aliyepita basi jua na wewe ipo siku atatoa siri zako pindi mutakapomaliza urafiki wenu
..
Kiba asifanye vitu kwa presha ya Diamond,ajipange kwanza!!Siku uhusiano na Jokate ukiisha basi na Label inapoteza mtu
..