Kichekesho cha karne

Marekani
Trump ampigia simu rais wa urusi
Trump ampigia simu rais wa nigeria
Trump ampigia simu rais wa Kenya
Trump ampigia simu waziri mkuu wa uingereza
Tanzania:
Magufuli ampigia simu diamond
magufuli ampigia simu mwana fa
magufuli awapigia simu shilawadu
magufuli awapigia simu cloudstv
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] ya vi-wonder
Sizonje.....
 
Marekani
Trump ampigia simu rais wa urusi
Trump ampigia simu rais wa nigeria
Trump ampigia simu rais wa Kenya
Trump ampigia simu waziri mkuu wa uingereza
Tanzania:
Magufuli ampigia simu diamond
magufuli ampigia simu mwana fa
magufuli awapigia simu shilawadu
magufuli awapigia simu cloudstv
[HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG] ya vi-wonder
Kila mtu anaangalia kiwango cha wa kuongea nao.
Napita tuuuuuuuu.
 
ulitaka ampigie simu baba ako ndio isiwe kichekesho ..... watz bwana kila jambo linalofanyika ni kosa
 
Back
Top Bottom