Kicheche au Bahati mbaya?

hii ni stori ya kufikirika tu! itengenezewe movie ili ionekane ina "uhalisia"!
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii majanga kama una presha lazima wakumwagie maji
 
Unamrukia mdingi na kumbusu ukijifanya umefurahi kumfahamu baba wa mpenzi wako! Hii itaua soo na mama utamwamkia kwa kupiga goti hadi chini.

Wengine unawapotezea, mpango mzima unabaki kwa wawili (baba na mwana)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…