Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 6,048 Reaction score 8,826 Jan 5, 2019 #21 Shadeeya said: Kwenye movie za Van damme ndio yanapatikana. πππ Click to expand... ππππ hatari kweli mpiga mateke huyo, mie ningekuwa huyo bint ningejisogeza zangu taratibu naenda home kichapo chote chanini ilihali ubavu sinaπππ
Shadeeya said: Kwenye movie za Van damme ndio yanapatikana. πππ Click to expand... ππππ hatari kweli mpiga mateke huyo, mie ningekuwa huyo bint ningejisogeza zangu taratibu naenda home kichapo chote chanini ilihali ubavu sinaπππ
ben milazo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2015 Posts 995 Reaction score 678 Jan 5, 2019 #22 inauma sanaa aiseh
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,707 Reaction score 128,313 Jan 5, 2019 #23 Uchira 1 said: ππππ hatari kweli mpiga mateke huyo, mie ningekuwa huyo bint ningejisogeza zangu taratibu naenda home kichapo chote chanini ilihali ubavu sinaπππ Click to expand... Hahaaa. Mbele ya hilo jopo la watu aliona ataonekana boya hivyo akaamua na yeye atunishe msuli.
Uchira 1 said: ππππ hatari kweli mpiga mateke huyo, mie ningekuwa huyo bint ningejisogeza zangu taratibu naenda home kichapo chote chanini ilihali ubavu sinaπππ Click to expand... Hahaaa. Mbele ya hilo jopo la watu aliona ataonekana boya hivyo akaamua na yeye atunishe msuli.
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 6,048 Reaction score 8,826 Jan 5, 2019 #24 Shadeeya said: Hahaaa. Mbele ya hilo jopo la watu aliona ataonekana boya hivyo akaamua na yeye atunishe msuli. Click to expand... πππ na ndo madhara ya kufanya jambo kwa kuangalia watu
Shadeeya said: Hahaaa. Mbele ya hilo jopo la watu aliona ataonekana boya hivyo akaamua na yeye atunishe msuli. Click to expand... πππ na ndo madhara ya kufanya jambo kwa kuangalia watu
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,707 Reaction score 128,313 Jan 5, 2019 #25 Uchira 1 said: πππ na ndo madhara ya kufanya jambo kwa kuangalia watu Click to expand... Kweli kabisa. Japo kaweka Historia mpaka kwa Ke wenzie atatembea kifua mbele. π
Uchira 1 said: πππ na ndo madhara ya kufanya jambo kwa kuangalia watu Click to expand... Kweli kabisa. Japo kaweka Historia mpaka kwa Ke wenzie atatembea kifua mbele. π
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,389 Reaction score 59,151 Jan 6, 2019 #26 Yerewiiii Sent using Jamii Forums mobile app
TOEDSLOTH JF-Expert Member Joined Nov 3, 2018 Posts 781 Reaction score 1,491 Jan 6, 2019 #27 Uyo binti Ana Asili ya singida na atakua ni mnyiramba, nawaza2 π€£π€£ Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo binti Ana Asili ya singida na atakua ni mnyiramba, nawaza2 π€£π€£ Sent using Jamii Forums mobile app