Kichapo heavy

Kadada machachari! Hivi unawezaje kumrushia mdada ngumi!?
 
Mimi mdada akitaka kunipiga anikumbatie tu, hapo atanimaliza!
 
Uuwiii. Hilo teke jamaani sababu limemsukuma mbaya.

Ila hako kadada kakaidi maana kajua kwenda na huyo kaka sawa. Hata kama alipigwa huyo Me naye habari aliipata.
 
Tofauti ya jinsia yao ni ipi, mbona kama ni sawa tu. Mavazi ndiyo wametofautiana


Ila hilo teke jamaa kalipiga kwa nguvu za kidada, yaani unatumia kisigino tena kifuani halafu mtu anainuka kuendelea kupambana. Ilipaswa asiinuke maana sehemu mbaya ya kupigia teke kisigino ni namba moja.
 
Saa zingine wasichana wanazingua sana
Kakutana na kichaa mwenzake

Ukiona watu wanapigana afu watu hawaingilii jua fika mmoja wapo mnoko na mkorofi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…