kichanga kina mwezi 1, mchumba simwelewi kabisa!

kichanga kina mwezi 1, mchumba simwelewi kabisa!

Snipper

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
1,340
Reaction score
2,181
Wanajamvi hii kasheshe inanichanganya, mchumba wangu amejifungua mtoto wa kike, ana umri wa mwezi kwa sasa. Cha kushangaza ni kuwa tukiwa tumelala anagusg dushelele langu na nikikurupuka kumuuliza kwa nini anafanya ivo anasema anataka nimpe haki yake. Sasa mimi niko njiapanda mpaka muda huu maana nadhan bado ni mapema sana kuanza kugegedana. Ingawa alijifungua salama kabisa na ni mtoto wetu wa pili lakin nahisi kama maungo yake hayajakaa sawa kwa mgegedo. Sasa huyu mimi nimfanyeje jamani? Naomba ushauri wenu maana ni zaidi ya mara 4 anataka na mimi nampotezea.
 
Hebu acha uchoyo. Mpe bwanaa. As long as ameshaacha kutokwa damu, mpe ila usismamie vidole. Mwili wake anajijua anajiskiaje

mkiwa mnatarajia mtoto wa tatu uwe unaendaga nae clinic ili uulize haya maswali. Afu mfunge ndoa uanze kumuita mchuchu na sio mchumba!
 
Mpe tu! Mi pia nilihitaj mapemaa na sikuona madhara! Ila usafi ni muhimu sana! Mkimaliza muoge kabla ya kukamata kichanga chenu! Afya yake ni muhimu zaidi.
 
Wee piga tu si yako bhana? sanasana mwanamke inamtaka hadi amalize arobaini kwa uhakika zaidi lakini kama trafik kaona poa kuvuka na taa nyekundu wasiwasi wako nini aisee
 
Hebu acha uchoyo. Mpe bwanaa. As long as ameshaacha kutokwa damu, mpe ila usismamie vidole. Mwili wake anajijua anajiskiaje

mkiwa mnatarajia mtoto wa tatu uwe unaendaga nae clinic ili uulize haya maswali. Afu mfunge ndoa uanze kumuita mchuchu na sio mchumba!
asante kwa kunipa ushauri huo, ngoja ntaanza mdogomdogo, inawezekana kweli mwenzangu kazidiwa..kuhusu kwenda clinic nilikuwa nampeleka mpaka naingia ndani ila sikuweza kumuuliza hayo maswali gyna
 
Wee piga tu si yako bhana? sanasana mwanamke inamtaka hadi amalize arobaini kwa uhakika zaidi lakini kama trafik kaona poa kuvuka na taa nyekundu wasiwasi wako nini aisee
wasiwasi wangu ni kuwa huenda mwenzangu ana hamu ila hajawa ok kabisa. Ila kwa kuwa anang'ang'ania, haina jinsi, inabid nimtimizie haki yake ya kiuchumba!
 
Hebu acha uchoyo. Mpe bwanaa. As long as ameshaacha kutokwa damu, mpe ila usismamie vidole. Mwili wake anajijua anajiskiaje

mkiwa mnatarajia mtoto wa tatu uwe unaendaga nae clinic ili uulize haya maswali. Afu mfunge ndoa uanze kumuita mchuchu na sio mchumba!

umenichekesha hapo King'asti
 
Last edited by a moderator:
duh mtoto wa pili bado mnaitana wachumba hahahahahahaha mbavu zangu mie jf kweli ni kiboko ya uchafu.
 
duh mtoto wa pili bado mnaitana wachumba hahahahahahaha mbavu zangu mie jf kweli ni kiboko ya uchafu.
Sasa ulitaka tuitaneje na wakati hatujafunga ndoa? Bado tunachunguzana, tukiona tumemaliza kuchunguzana tunamuona padri kukamilisha mchezo.
 
watoto wawili mnachunguzana nini? hovyo kabisa:embarrassed1: then mnaachana watoto wanaenda wapi? tafakari chukua hatua ................
 
Acha uoga kaka
mchumba na watoto wawili!!!
muoe ili awe na security ya mahusiano yenu
hapo inawezekana anajilazimisha kukupa akihofia utafanya mpango wa kando
na ni kwa kuwa bado wamuita mchumba

ila wewe noma, mchumba na 2kids!!!!!!

wasiwasi wangu ni kuwa huenda mwenzangu ana hamu ila hajawa ok kabisa. Ila kwa kuwa anang'ang'ania, haina jinsi, inabid nimtimizie haki yake ya kiuchumba!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom