kichaga kigumu kuandika

Pdidy hueleweki na husomeki halafu jifunze kuandika kwenye mitandao unapenda kuandika ila kunakitu unamiss.Post zako nyingi zinaboa angalia unavyovuruga hii mada kuna wengine tunaenjoy kuona kichaga kinavyoandikwa maana ni wa huko ila hatujui kuongea.
 
chaloi kapsa. Mndu chu mchaka lakinyi aichi necha pfo. namtakie alosho necha. Kimbuo nemanya tikyi
 
hahahahaha B sema neno 1 la kichaga basi au ngoja nitaanzisha darasa lakini sio bure :lol::lol:
 
Mhhhh! mie nanyoosha mikono juu B lol!, kwenye darasa lako hujanipata, kama utaanzisha darasa la kijapani πŸ™‚πŸ™‚ basi nitafute lol!
 
hilo unalolitaka nitadanganya bure wenyewe wakanitoza faini
 
meku shimboni nashisha hahahahahahahah lol!

hahahahah B ndio mwisho wako hapo!!!! lol uwarikiri wameku wose uwawie ngiwakundi na ruwa na watarame hahahahaha tafuta dict.
 
Reactions: BAK
hahahahah B ndio mwisho wako hapo!!!! lol uwarikiri wameku wose uwawie ngiwakundi na ruwa na watarame hahahahaha tafuta dict.

hahahahahah lol! B sasa mbona unanichanganyia tena na ilhali mie bado mwanafunzi πŸ™‚πŸ™‚ unataka nifeli eeh kwenye mtihani wako lol!

Sayonara πŸ™‚

sijakuchanganya nimeanza na somo la leo hahahahahahah B ngoja nikupe tafsiri ''tuma hela kwa Mpesa ndio mtandao ninaoupenda'' lol!!!!!
 
hahahahahah lol! B sasa mbona unanichanganyia tena na ilhali mie bado mwanafunzi πŸ™‚πŸ™‚ unataka nifeli eeh kwenye mtihani wako lol!

Sayonara πŸ™‚

mmmmmmmhhh kijapani kimeanza
 
Mhhhh! mie nanyoosha mikono juu B lol!, kwenye darasa lako hujanipata, kama utaanzisha darasa la kijapani πŸ™‚πŸ™‚ basi nitafute lol!

iyo kyasaka loi! Nukundi kijapani mcho?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…