Kichaa hiki kinatokaga wapi?kinaishia wapi?

Flelex curtis

Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
46
Reaction score
16
Habari zenu wanajukwaa hili poleni na mihangaiko ya siku ya leo.baada ya kusema hayo ningependa kuelekea moja kwa moja kwa kile ambacho ningependa tutafakari/kujadili kwa pamoja.unaweza ukakuta watu walio kwenye mahusiano ya kimapenz kwa kipindi/muda fulani bila ya kushiriki katika tendo linalowakutanisha kimaumbile/hisia kiukweli kuna baadhi ya mambo/maneno ambayo tunakutana nayo haswahaswa kwa wenzetu WASICHANA/WANAWAKE.walio wengi kabla ya tendo utakumbana na matusi,kejeli,dharau n.k mimi binafsi nimeshawah kukutana na jambo kama hili kwa mfano tukigombana tu na mpenz hapo ni matusi na dharau lakin baada ya kukutana kimwili amekuwa mpole sana hata niwe na makosa anakuwa mpole kipind cha nyuma hata kama hakuna kosa alikuwa ananitukana kupita kiasi.je hili suala linatokana na nini?maana huwa sielewi
 
Inakuaga zuga tu hiyo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu wakati mwingine hilo tendo ni muhimu sana kusuluhisha ugomvi na watu kuheshimiana.Hivyo hiyo ni hali ya kawaida,baada ya tendo heshima ikawepo,ila siyo katika watu wote,maana watu tunatofautiana.
 
ukishamwagia zile mbegu anakuwa na furaha ndio maana hawezi kukasirika na kukurushia matusi
 
sema hata kabla ya kuaproach kwa wale ambao ni wapya, usinikumbushe kipindi naanza kumfuatilia, nilitukanwa acha, mara nikaambiwa mimi sina hadh kuwa naye, akawa anawataka marafiki zangu,...ati sina sura nzuri..hahaha, siku moja si akaingia mkenge, nikamlamba.....kuanzia hapo, aliwatosa jamaa zangu wote, akaanza kunifuatilia anataka kila wakati, mara anataka awe nyumba ndogo yangu...nilimtumia hadi nikamchoka nikambwagaa aende zake.....sikuamini kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu kwamba anaweza kumpenda mume wa mtu hata kumlilia machozi.....nashukuru Mungu alishapata bwana mwingine amezaa naye na ameacha kunisumbua.
 

kwahiyo unakaona rahaa mwenyewe ulipoliliwa! Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…