kibweka u a missed

tz1

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
2,121
Reaction score
536
Huyu mtaalamu wa picha yupo wapi?
Maana maafa mengi sana mwezi huu.
 
Au laptop yake imechukuliwa na mfuriko?
 
hahah wala simmiss,Zinduna yupo kuendeleza libeneke lol
 
mafuriko jamani,
atakuwa kwenye kambi za walio kumbwa na mafuriko.
 
funzadume yupo usijali. kwani umekosa nini mbona naona kuna picha zake kibao hujacomment? kuna project anamalizia. mia
 
funzadume yupo usijali. kwani umekosa nini mbona naona kuna picha zake kibao hujacomment? kuna project anamalizia. mia

kazeeka kwa hiyo kawa malaika na kuhusu kimbweka yupo poa na xmas alikuwepo...
 
funzadume yupo usijali. kwani umekosa nini mbona naona kuna picha zake kibao hujacomment? kuna project anamalizia. mia
duh! Amalize tu na arudi,kibweka naye vp? Mlio dar mpitie kwa wahanga wa mafuliko mnaweza mkuta huko wakuu!
 
Nahisi yupo uchagani kuhesabiwa au yuko chini ya ulinzi si pono Hairuhusiwi tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…