Kibu Denis muongo



Mimi ni Yanga, ila huyu jamaa labda kama ni chipukizi kwenye mpira. Ila uhalisia amevuka 21Beki hodari wa klabu ya Yanga, Kibwana Shomari ana miaka 21 kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari. Kwa mtindo huu atalitumikia Taifa kwa muda mrefu sana kama ilivyokuwa kwa Nsajigwa. Hakika Kibwana ni hazina kwa Taifa.
View attachment 2220965
MANULA ANA MIAKA 26????? AZAM AMEKAA TANGU 2010 HUU UONGO WA WAZI WAZI




Kibu muongoKwahyo Kibu ana miaka 22 yaani nikikutana nae aniamkie afu eti mimi niitikie?? Big NO



Kweli kabisa aiseeKama
KAKOLANYA 1994
MANULA 1995
KIBU 2000
MKUDE 1992
KAPOMBE 1992
KIBWANA asogeze 2005 hapo




Kubabake... Hahaha... Ana watoto 3 huyu mwamba na wake 2. Ndoa ya kwanza ilikuwa 2013...





ila nyie watu uwiiiiih.Acha uongo wako nawee khaaaah,Nmemuona akikua nlimzidi madarasa mawili alkua anatuamkia shuleni huo umri hajadanganya Mluguru ila ameanza kucheza na wakubwa zaman sana
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app




Hahha yani hawadea nimecheka mnoo.
Mmmmmh
Sema wee mwenzangu.Hahha yani hawa
Sio kwa kudanganya huko