Kibwana Dachi amchana LIVE Wasira

Amenena ukweli mtu,hivi vyeo vya kuhongana vinafanya uwajibikaji uwe mdogo, mtu anatumwa kusuruhisha mgogoro wa kidini Mwanza na Geita lakini anaishia kuibua mgogoro zaidi
 
Anatania tu bana.................Huyu jamaa c ndo kama Kibonde tuu..........siwezi kuwatofautisha......
au wame muudhi nini tena wajameni???????????????? iyena iyena aaaaaaaaaaaaaaa......iyena iyenaaaaaaaaaaaa.........
 
hahahahaha....kwa sasa imefikia hatua watu wanaiogopa ccm kuliko hata cdm inayosemwa kuwa inataka watu...
 
jamaa kila kituo cha Tv wanakula mmoja mmoja,kwa channel tyr washachukua chao kupitia kwa shujaa mwangosi<RIP my bro bado tunakulilia> huyu wa sasa hawana tym nae labda amtaje membe
 
viongozi wengi wa ccm wamechaguliwa kwa uwezo wao wa kunyenyekea kwa uoga bila kupinga lolote hata la kweli ndo maana watu km wassira eti leo hii ni waziri! Kweli umaskini hautaisha!
 
Ni kiongozi gani ambaye hakupitia CCM hata hao miungu mtu akina SLAA, na wabunge wenu wengi walikuwa ccm je ni njaa ziliwaondoa ccm au ninyi mnamuona wasira tu kweli wasira anawatesa na mwaka huu mtakoma.
Aaahgh, wacha maudhi mkuu... atakoma mwenyewe, badala ya kusinzia bungeni atakua analala..bado kupeleka godoro tu!!
 
Cdm mnawachuza waandishi yakiwafika mnaingia mitini hamuonekani Kibwana dachi kuwa makini na mabepari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…