Hakika kila Mbuyu na shetani wake! Katika vitu ambavyo vimenifurahisha asubuhi hii ni kitendo cha nguri wa habari Ndugu Kibwana Dachi kumtamkia LIVE bila chenga kuwa Wasira hana weredi wa uondozi wala uvumilivu wa kisiasa hata cheo alichonacho ni cha kuhongwa tu!Zaidi ya hapo amewataka wana habari kumuumbua kwa kutumia mikanda yake ya maneno aliyokuwa akiyatoa juu ya Serikali ya CCM wakati yupo upinzani. Hongera sana Kibwana! Tunahitaji wanahabari wenye kujiamini kama wewe.

tutamwokota mabwepande muda si mrefuNimemsikia ,amempa madongo live.safi sana kibwana dachi.
kibwana dachi anamuitaga kikwete 'dokta'
Hakika kila Mbuyu na shetani wake! Katika vitu ambavyo vimenifurahisha asubuhi hii ni kitendo cha nguri wa habari Ndugu Kibwana Dachi kumtamkia LIVE bila chenga kuwa Wasira hana weredi wa uondozi wala uvumilivu wa kisiasa hata cheo alichonacho ni cha kuhongwa tu!Zaidi ya hapo amewataka wana habari kumuumbua kwa kutumia mikanda yake ya maneno aliyokuwa akiyatoa juu ya Serikali ya CCM wakati yupo upinzani. Hongera sana Kibwana! Tunahitaji wanahabari wenye kujiamini kama wewe.
Hakika kila Mbuyu na shetani wake! Katika vitu ambavyo vimenifurahisha asubuhi hii ni kitendo cha nguri wa habari Ndugu Kibwana Dachi kumtamkia LIVE bila chenga kuwa Wasira hana weredi wa uondozi wala uvumilivu wa kisiasa hata cheo alichonacho ni cha kuhongwa tu!Zaidi ya hapo amewataka wana habari kumuumbua kwa kutumia mikanda yake ya maneno aliyokuwa akiyatoa juu ya Serikali ya CCM wakati yupo upinzani. Hongera sana Kibwana! Tunahitaji wanahabari wenye kujiamini kama wewe.
Alafu hii sielewi ni kwanini wanahabari wengi wanaitamka 'Dokta' ya Kikwete mara kwa mara tofauti na ilivyokuwaga kwa Mkapa maana naye alikuwa nayo 'dokta' kama hii lakini alikuwa na bado anaendelea kuitwa Ndugu au 'Mheshimiwa Benjamini William Mkapa' Tofauti na hii ya 'Mheshimiwa dokta Jakaya Mrisho Kikwete' Au shinikizo la TISS kama kawaida yao?
Ni kiongozi gani ambaye hakupitia CCM hata hao miungu mtu akina SLAA, na wabunge wenu wengi walikuwa ccm je ni njaa ziliwaondoa ccm au ninyi mnamuona wasira tu kweli wasira anawatesa na mwaka huu mtakoma.
Kibwana Dachi namkubali tangu kitambo sana
Mara utasikia ameuawa na kitu kilichokua kikiruka, hawataki kabisa kusema amepigwa bomuMaccm kwa fitina utaona wanaanza kumwandama Kibwana Dachi kwa kuongea ukweli