KIBUTI CHA Baba V a.k.a mwenyekiti

KIBUTI CHA Baba V a.k.a mwenyekiti

Asnam

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
4,256
Reaction score
2,949
kutokana na tabia yake ya kuparamia mali za watu kwa muda mrefu hatimaye za mwizi arobaini,mwenyekiti wetu Baba v yamemfika ya kumfika kaja kuparamia ukuta wangu kwa kasi ya ajabu akiwa amevalia kaunda suti yake bila aibu.......akijilizaliza eti ananizimikia...........nikampa warning lakini akajifedhehesha kuja na viua vyake kama mnavyomuona kwenye picha namba moja na bado mbinu zake hazijabeba mimba,nampa pole sana.

Cha ajabu wakati moyo wa mzee huyu umenidondokea mie hata mshipa wa k hautikisiki na kumtupilia mbali............kumbe mambo ni vice versa, nilichezea cha mbavu kutoka kwa laaziz wangu niliyekuwa najipendekeza mara na vijiflower...mara na vikeki vya bathidei duh mara mia hiyo pesa ningemnunulia mama yangu kitenge cha lakhani avae siku mbili tatu loh, ila Mola hamtupi mja wake kama mnanvyoniona ktk picha no.2 napewa macare ya kufa shetani na honey wangu(anonymous) mpya plz Platozoom na Baba V sitaki uturutumbi wenu ktk penzi langu akichanwa mtu viwembe mi thimo.:A S kiss::A S kiss:
nawatakieni maisha marefu yenye kheri na baraka tele, Asnam loves you all......

15251028-young-couple-a-image-of-a-cartoon-couple-man-with-bouquet-and-ring-proposes-a-marriage-to-woman.jpg
12357419-portrait-of-a-handsome-man-surprising-a-beautiful-woman-giving-a-red-rose-bouquet-as-love-present.jpg

It`s funny how hello always ends with a goodbye,
it`s funny how good memories can start to make you cry.
 
Last edited by a moderator:
Mpenzi Lady doctor hii picha namba 2 tuliyopiga wote disney,ukerewe mbona inazagaa zagaa katika vyombo vya habari?
Mpaka watu wajue kuwa nami nina akaunti uswisi
 
mmmmmh uwe na picha kama hiyo mbona tusingekohoa teh teh teh
 
Mpenzi Lady doctor hii picha namba 2 tuliyopiga wote disney,ukerewe mbona inazagaa zagaa katika vyombo vya habari?
Mpaka watu wajue kuwa nami nina akaunti uswisi
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha kumbe wazijua mbute!!!!!!!!!!!
ha ha ha umenikumbusha mbali sana

kanda ya ziwa hoyeeeeee........mbute ni balaa nilishawahi kula enzi zile wadhungu hawajatubadilisha na utadawizi loh ngoja nikirudi nizitafute
 
Mpenzi Lady doctor hii picha namba 2 tuliyopiga wote disney,ukerewe mbona inazagaa zagaa katika vyombo vya habari?
Mpaka watu wajue kuwa nami nina akaunti uswisi

nawasiwasi na slave atakuwa amezisambaza honey
 
Last edited by a moderator:
Alivonletea za kuleta mi nkaona isiwe tabu. Nkampa kubwa kudadadeki. Alikoma kuringa.

Hivi Bayern Munich Vs Borussia Dortmund itakuwa lini vile?

Where is Kaizer when I need hommie the best?

Habari senyo kwa mpigo? Narudi kwenye mgomo, kwaherini.
 
Last edited by a moderator:
nawasiwasi na slave atakuwa amezisambaza honey

aaagh wapi unamsingizia tu Slave alizipatajepataje bila ushirikiano wako loh ngoja nikae pembeni nisijesutwa kwa matarumbeta mie.
 
Last edited by a moderator:
Alivonletea za kuleta mi nkaona isiwe tabu. Nkampa kubwa kudadadeki. Alikoma kuringa.

Hivi Bayern Munich Vs Borussia Dortmund itakuwa lini vile?

Where is Kaizer when I need hommie the best?

Habari senyo kwa mpigo? Narudi kwenye mgomo, kwaherini.

ishhhhhhhh......
 
heh we nawe umetokea wapi thatha mbona unahemea juu juu,halafu mbona umechangia out of topic una nani huko anakutia kiwewe.....
 
Back
Top Bottom