20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
Wacha weeee! Ila akiba ikakutokea kichwani
dharura hutokea.
Wacha weeee! Ila akiba ikakutokea kichwani
dharura hutokea.
Sio vizuri lkn, uache hako katabia
Thats was very long time ago,mamy
Guuud, hope utoto umekuisha sasa!
utoto....???:confused2:
Teh teh teh ndio, huo wa kuchanganya
Ahsante kwa ushauri bibie
Kumbe!!! Kwani ulivyokuwa nao wawili wht did you expected?
Enzi za ujana. Hizooo, hujawah date while upo kwa relationship ingine ?
Teh teh teh, mie thijawahi kwakweli😉
kweli english ilikuja na meli,mi nachekaga nikiona jina lako "atoto", looks like kuna mtoto hawezi kuita "mtoto"
Honestly, na hilo wink !
So wew hujapitia hiyo uliloita ni utoto ?
Jamani haya maswali yako mie naona aibu kuyajibu, thijawahi 😀
Hah, kama huku fanya kipindi, hiko. Meanz wafanya now...😛
Weeeee na uzee wote huu!!a nooo thank you