Hahahaha....! Hii nimeipenda, maana kweli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo....!Nshapigwa saa 3 baada ya kumake love,akanambia uhusiano hauna future,then nikapigwa siku 3 baada ya uhusiano mtoto akanambia simjali,nshapigwa tena na mtu akanambia tuvunje uhusiano,nkambia poa,akaguna kumbe alikua anatania,mi nikamaanisha maana nshazoea
Ni kawaida kwa mwanaume aliyekamilika kula vibuti. Vibuti vina staili tofauti, kuna kumwagwa na kumiminwa.Hiki ni kibuti ambacho sitakaa nikisahau, kwani nilipopewa haya maneno, sikuwa na moyo wa kuendelea, licha ya kumfatilia kwa miaka 5,
namnukuu "unajua dunia hii unaweza ukampenda sana mtu kama mpenzi, naye akakupenda kama rafiki? Tindikali kaa ukijua kuna watu walipenda sana, wakafiwa na wake zao, lakini walikuja kuoa na wakapenda tena na maisha yakaendelea, sembuse mimi usiyejua matamu na machungu yangu? Na isitoshe dini itakusumbua, naomba tubaki tu kama marafiki.....", nilimpenda sana huyu binti na bado nampenda, lakini cha kusikitisha alinipenda kama rafiki.
Je wewe una uzoefu gani na vibuti?
mh we mkareemm ni kama chura ukinipiga kibuti ni kama umeniongezea safari hhhhaaa nimepigwa vingi sana ndo kama naongezewaga safari vile hahahaa
<br />
<br />
mh samtym cha kuambiwa kinauma ila mimi kunademu nilmpenda then akaja kuniambia yey anamtu tayari kama mwanaume lazima uwe kinganganizi kama kwel una nia.tatzo nayeye alionyesha dalil za kunichunguza mfano wa maswal yake kwanin unanipenda,wewe unaweza kubali mpenz wako akuache,ujawai kuwa na mpenz.mwanaume mwisho wa siku nikapigwa kibuti akaniambia SIKUPENDI NA SITAK MAWASILIANO NA WEWE KAMWE.yote haya niliambiwa face to face nikiwa nyumban kwao.nilkuwa nimemnunulia zawadi nikamkabidh akazipokea niliondoka lakn nilpofka mbal nikazma gari kama lisaa then nikapata nguvu nkaondoka.niliumia lakni nishasahau[/QUOTE]
Lol! mambo mengine yanachekesha hata kama yanaumiza sana. Pole sana Mkuu.
Unachaguaje wakati wewe ndio unapigwa buti?dah ushauri wako nitaufanyia kazi, pengine inawezekana nachagua sana...lol
Bora kibuti cha kuwekwa wazi - kibuti cha kimyakimya ni noma! Siwezi saau, ila nitajitahidi kusaau, nililipenda kumbe lenyewe lilikuwa kwenye research.
Namaanisha hata kukubaliwa ni tatizoUnachaguaje wakati wewe ndio unapigwa buti?
Ukome kupendapenda kila unaemwona
nakusifu kwa kung'ang'ania hiyo mutu, sijawah kula kibuti labda kwa sababu ni mgeni wa kudandia bintis hovyo!Nimeachwa mara nying, ziwez kuziandika hapa. Mkeo wangu niliyenae, alishanipiga kibuti mara 2 kabla ya ndoa.
Mi kuna mmoja humu nampenda, kwa jina nahisi vile vile ni mzuri,,lakini naogopa kibuti.
Ni kawaida kwa mwanaume aliyekamilika kula vibuti. Vibuti vina staili tofauti, kuna kumwagwa na kumiminwa.Hiki ni kibuti ambacho sitakaa nikisahau, kwani nilipopewa haya maneno, sikuwa na moyo wa kuendelea, licha ya kumfatilia kwa miaka 5,
namnukuu "unajua dunia hii unaweza ukampenda sana mtu kama mpenzi, naye akakupenda kama rafiki? Tindikali kaa ukijua kuna watu walipenda sana, wakafiwa na wake zao, lakini walikuja kuoa na wakapenda tena na maisha yakaendelea, sembuse mimi usiyejua matamu na machungu yangu? Na isitoshe dini itakusumbua, naomba tubaki tu kama marafiki.....", nilimpenda sana huyu binti na bado nampenda, lakini cha kusikitisha alinipenda kama rafiki.
Je wewe una uzoefu gani na vibuti?
Dah!hii thrid imenitach kinoma,maana toka nimeanza kuingia ktk mahucano cjawah kuish na msichana yoyote yule tukamalza walau mwaka 1,yaani lolote lile litatokea baada ya cku chache ktk uhucano na kinachofata hap ni kupgwa kibuti tu,smtym ht sbbu ya msing siioni bt huwa nahc lbd nnagundu.Duh,inauma sn yaan km mwez m1 ulopt tyr nshapgw kibut baad ya miez 3 tu ya mahusiano.