baby zu JF-Expert Member Joined Nov 9, 2015 Posts 1,946 Reaction score 5,040 Jul 26, 2021 #21 Sky Eclat said: Madam Click to expand... Lakini madereva wanawake hua wapo makini sana barabarani. Hope atafika salama.
Sky Eclat said: Madam Click to expand... Lakini madereva wanawake hua wapo makini sana barabarani. Hope atafika salama.
K kolola JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 7,187 Reaction score 9,439 Jul 26, 2021 #22 Sky Eclat said: Inawezekana U turn hapa? Maana tukiendelea kwa speed yeyote ile tunaanguka Click to expand... Ila tulikueleza ulipokuwa ukisifia, nikiwaita wakurupukaji nyote anti JPM nakosea?
Sky Eclat said: Inawezekana U turn hapa? Maana tukiendelea kwa speed yeyote ile tunaanguka Click to expand... Ila tulikueleza ulipokuwa ukisifia, nikiwaita wakurupukaji nyote anti JPM nakosea?
Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 13,829 Reaction score 39,482 Jul 26, 2021 #23 Sky Eclat said: Dereva arudi nyuma kwa reverse atuokoe. Click to expand... Kazi ya kuendesha gari iendelee hakuna kurudi nyuma !
Sky Eclat said: Dereva arudi nyuma kwa reverse atuokoe. Click to expand... Kazi ya kuendesha gari iendelee hakuna kurudi nyuma !
W wakaliwetu JF-Expert Member Joined Jul 16, 2020 Posts 671 Reaction score 1,143 Jul 26, 2021 #24 Sky Eclat said: Inawezekana U turn hapa? Maana tukiendelea kwa speed yeyote ile tunaanguka Click to expand... Hamna uwezekano huo wa ku U turn hapo tumesha changanya madesa ni kusikilizia maumivu tu sasa 😳 😳 😳 😳
Sky Eclat said: Inawezekana U turn hapa? Maana tukiendelea kwa speed yeyote ile tunaanguka Click to expand... Hamna uwezekano huo wa ku U turn hapo tumesha changanya madesa ni kusikilizia maumivu tu sasa 😳 😳 😳 😳
Environmental Security Senior Member Joined May 21, 2020 Posts 181 Reaction score 262 Jul 26, 2021 #25 Sky Eclat said: View attachment 1868493 Click to expand... Sky Eclat
Imalamawazo JF-Expert Member Joined Jul 27, 2021 Posts 1,343 Reaction score 3,280 Jul 27, 2021 #26 mulwanaka said: Mama anaupiga mwingi, ila hana bunge hana washauri wenye nia nzuri, hana kabineti nzuri, kashindwa kuamua maamuzi magimu. Click to expand... Kila kitu hana akiendelea kuupiga mwingi atajifunga goli
mulwanaka said: Mama anaupiga mwingi, ila hana bunge hana washauri wenye nia nzuri, hana kabineti nzuri, kashindwa kuamua maamuzi magimu. Click to expand... Kila kitu hana akiendelea kuupiga mwingi atajifunga goli
Imalamawazo JF-Expert Member Joined Jul 27, 2021 Posts 1,343 Reaction score 3,280 Jul 27, 2021 #27 baby zu said: Namchungulia dereva ni nani, Click to expand... Huyo kipanya asituambie dereva hajulikani?
baby zu said: Namchungulia dereva ni nani, Click to expand... Huyo kipanya asituambie dereva hajulikani?