Kibonzo- Ndoto ya Divisheni 5

Kuja jamaa hata jukwaani anasignature yake insema "Ukiona ndoto zako hazijatimia endelea kulala" sasa hawa vilaza wa mulugo waendelee kulala tu wakisubiria kubebwa na Division V. Eti ni professa kabisa kaamua iwe hivyo. Mimi nilidhani division IV itafutwa na kuchanganywa na zero ili watu wasome kumbe wameiongezea credit!!!!!!!!!1 Jamani yewomiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!! nisaidieni natafuta pakuhamia nihame hii nchi kabisaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!1
 
Mulugo=Janga
Sidhani kama alidhamiria ku-kanseli divisheni faivu au aliji-tongue slipery again, akidhani watu hawatalikamata.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…