KIBONZO; Nathan Mpangala!

Hajakipatia. Angekuwa ameweka ni nani anayemkaanga ingekuwa nzuri sana. Maana hajikaangi mwenyewe kuna mtu anamkaanga
 
Hajakipatia. Angekuwa ameweka ni nani anayemkaanga ingekuwa nzuri sana. Maana hajikaangi mwenyewe kuna mtu anamkaanga

Mkuu
Ni kweli ila hata dhana ya kujikaanga mwenyewe inawezekana kwani unaona wanaoitafuna CCM ni mchwa ndani ya chama na Serikali pia! Nadhani huyo anayetazama ni mwananchi wa kawaida!
 
it's just perfect (given the circumstances).
 
pangekuwa na mchochea kuni ambaye fulana yake inamalizia na maandishi DM, herufi ya mwanzo yaani C iwe imefifia au inaonekana kwa mbaaali! ingekuwa poa zaidi.
 
Hajakipatia. Angekuwa ameweka ni nani anayemkaanga ingekuwa nzuri sana. Maana hajikaangi mwenyewe kuna mtu anamkaanga
Mkuu, hata internal conflicts zinawaua magamba kwa kiasi fulani.
 
Kweli wakuu. Na inaonekana mambo yake ya ndani ndio yanamfanya mpaka anajikaanga mwenyewe.
Na bado hajajijua tuu kuwa ataungua na kuteketea
 
mkuu ccm inajikaanga yenyewe
Mkuu nimekubali
Na haya mambo yanayotokea ndani kwa ndani ndio yanamfanya ajikaange mwenyewe
Though pia kuna external pressure pia inachangia.
 
Hajakipatia. Angekuwa ameweka ni nani anayemkaanga ingekuwa nzuri sana. Maana hajikaangi mwenyewe kuna mtu anamkaanga
Mkuu ... amekipatia sana. Ukweli ni kwamba CCM ndio wanajimaliza wenyewe (japo hawajui) na si vyama vingine vya upinzani vinawamaliza. Kina Wareboya wamekazana na Dr Slaa kwa kufikiri kuwa wakishusha umaarufu wake na Chadema itakufa na upande wa pili CCM itapanda tena chati kumbe wanajidanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…