adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,699 Apr 30, 2021 #2 daahh hadi nimemuogopa amevaa sura ya kigaidi
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Apr 30, 2021 Thread starter #3 adden said: daahh hadi nimemuogopa amevaa sura ya kigaidi Click to expand... Hacheki na nyani
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,715 Reaction score 32,495 Apr 30, 2021 #4 Yaani kabeba silaha zoooooooote hadi hilo la kuzibulia choo jamani
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Apr 30, 2021 Thread starter #5 Kambaku said: Yaani kabeba silaha zoooooooote hadi hilo la kuzibulia choo jamani Click to expand... Ma RC, DC, DED nk wajiandae
Kambaku said: Yaani kabeba silaha zoooooooote hadi hilo la kuzibulia choo jamani Click to expand... Ma RC, DC, DED nk wajiandae
CaptainDunga JF-Expert Member Joined Jul 17, 2009 Posts 1,588 Reaction score 1,392 Apr 30, 2021 #6 Sky Eclat said: Ma RC, DC, DED nk wajiandae Click to expand... Kuzibuliwa
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,776 Reaction score 46,050 Apr 30, 2021 #7 Sky Eclat said: View attachment 1768828 Click to expand... Atumie hizo zana kutusafishia ugoro wote wa itikadi za magenge ya wasukuma na wanachatto. Ikumbukwe kuna tofauti ya wasukuma au wanachatto makabila na itikadi za upigaji zinazotambulishwa na majina hayo. Mama aonyeshe nia tutamwunga mkono.
Sky Eclat said: View attachment 1768828 Click to expand... Atumie hizo zana kutusafishia ugoro wote wa itikadi za magenge ya wasukuma na wanachatto. Ikumbukwe kuna tofauti ya wasukuma au wanachatto makabila na itikadi za upigaji zinazotambulishwa na majina hayo. Mama aonyeshe nia tutamwunga mkono.
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Apr 30, 2021 Thread starter #8 brazaj said: Atumie hizo zana kutusafishia ugoro wote wa itikadi za magenge ya wasukuma na wanachatto. Ikumbukwe kuna tofauti ya wasukuma au wanachatto na itikadi za upigaji zinazotambulishwa na majina hayo. Mama aonyeshe nia tutamwunga mkono. Click to expand... Inaelekea kuna walioumizwa huko Dodoma, huoni damu hapo.
brazaj said: Atumie hizo zana kutusafishia ugoro wote wa itikadi za magenge ya wasukuma na wanachatto. Ikumbukwe kuna tofauti ya wasukuma au wanachatto na itikadi za upigaji zinazotambulishwa na majina hayo. Mama aonyeshe nia tutamwunga mkono. Click to expand... Inaelekea kuna walioumizwa huko Dodoma, huoni damu hapo.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,776 Reaction score 46,050 Apr 30, 2021 #9 Sky Eclat said: Inaelekea kuna walioumizwa huko Dodoma, huoni damu hapo. Click to expand... Ngoja tusubiri. Asipozingua wetu. Akituzingua, tunaye. Hatuhitaji mengi mbona? Haki, katiba mpya, uwajibikaji - wajameni haya mbona yetu wenyewe?
Sky Eclat said: Inaelekea kuna walioumizwa huko Dodoma, huoni damu hapo. Click to expand... Ngoja tusubiri. Asipozingua wetu. Akituzingua, tunaye. Hatuhitaji mengi mbona? Haki, katiba mpya, uwajibikaji - wajameni haya mbona yetu wenyewe?
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 58,636 Reaction score 220,353 Apr 30, 2021 Thread starter #10 brazaj said: Ngoja tusubiri. Asipozingua wetu. Akituzingua, tunaye. Hatuhitaji mengi mbona? Haki, katiba mpya, uwajibikaji - wajameni haya mbona haki yetu? Click to expand... Askofu Rashid amesha zinguliwa huko ujumbe wa NEC.
brazaj said: Ngoja tusubiri. Asipozingua wetu. Akituzingua, tunaye. Hatuhitaji mengi mbona? Haki, katiba mpya, uwajibikaji - wajameni haya mbona haki yetu? Click to expand... Askofu Rashid amesha zinguliwa huko ujumbe wa NEC.
B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 34,776 Reaction score 46,050 Apr 30, 2021 #11 Sky Eclat said: Askofu Rashid amesha zinguliwa huko ujumbe wa NEC. Click to expand... Pamoja na yote JK ni mstaarabu sana. Pana haja ya kuona njia ya kushirikiana naye kuona ndoto ya uwepo wa Tanzania njema tunayoistahili (kwa amani) inafanikiwa.
Sky Eclat said: Askofu Rashid amesha zinguliwa huko ujumbe wa NEC. Click to expand... Pamoja na yote JK ni mstaarabu sana. Pana haja ya kuona njia ya kushirikiana naye kuona ndoto ya uwepo wa Tanzania njema tunayoistahili (kwa amani) inafanikiwa.