Kabla sijafunga ndoa nipeni ushauri wa bure ,nichague kibonge au kimbaumbau ?
Uchaguzi utatokana na walio na uzoefu na amelezo yatakayosaidia.
vibonge wengi wananuka kwa bibi😆😆oa kibonge mwaya
vibonge gani mnakutanaga nao kwanivibonge wengi wananuka kwa bibi😆😆
Hao uliowataja wewe😆😆vibonge gani mnakutanaga nao kwani
Upo sawa ndio nikahitajia hayo mambo mazuri ili nichaguwe,kipofu si lazima uwe huoni.Uzuri wa kitu upo machoni pa mtu!
Nisifie basi ili nishawishike .oa kibonge mwaya
Itakuwa Asha Bhokovibonge gani mnakutanaga nao kwani
Kumbe we ni kibonge 😳😳vibonge gani mnakutanaga nao kwani
hehehheeKumbe we ni kibonge 😳😳