Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,286
Unatafuta mke au unatafuta mrupo?Kabla sijafunga ndoa nipeni ushauri wa bure ,nichague kibonge au kimbaumbau ?
Uchaguzi utatokana na walio na uzoefu na amelezo yatakayosaidia.
Mke ni mbegu ya uzao unayoileta kwenye ukoo, chagua mbegu bora.
Mke ni muendelezaji wa rasilimali za familia, chagua mwenye akili.
Mke ni kiburudisho, chagua kwa kufuata vionjo unavyovipenda.
Mke ni mtu anayeshikilia uhai wako, chagua kwa uangalifu.
Kwa kifupi mke ni naibu wewe, chagua utakayempenda maana anayempenda mkewe anajipenda mwenyewe