Jana Mkuu timu yng imefingwa!
Pole kaka najua mnatusafishia njia yakuchukua ubingwa
Hilo halipo! Sisi ndio mabingwa! Subiri matokeo ya game yako ya Leo Mkuu!
Kama ungeniona nishapiga jezi langu la gunners nasubiri saa moja nishangilie ushindi wa 3-0
Mi nipo hapa nasubiri nikupe pole rafiki yng!
Hahahhaa Na ukikimbia ntakutafuta mji wote
I will never run rafiki yng! Au nikupe na no yng ya sim kabisa?
Hahaha no problem mtu wangu, basi leo naomba uwe upande wangu au sio?
Jana Mkuu timu yng imefingwa!
Hatukuhitaji tena potea kabisa uende huko maporini kusiko na network, mmekuwa vibonde kama huyo mnyama mwitu hapo juuNtabaki Chelsea daima! Ila napenda mechi zote za timu zote kwa ajili ya kufanya tathimini!
Hatukuhitaji tena potea kabisa uende huko maporini kusiko na network, mmekuwa vibonde kama huyo mnyama mwitu hapo juu
Naona umechanganyikiwa na kupatwa na kiwewe hadi herufi unachapia...(imefungwa sio imefingwa~rekebisho)
DAH huyu mnyama huwa anaonewa sana mpk huwa namuonea huruma hakuna mnyama anayeweza kupambana nae wala kumtunushia msuli.
silaha yake ni kukimbia tu....
dah huwa nasikia tu nyama yao tamu ila sijawahi kuonja inabidi siku nitaste kwa kweli.Ni watamu sana.