elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
Bwaga moyoJBitungo,
It makes no sense to comment like a frustrated person. The agonised persons like yourself cannot, and will never, help in problem solving. Ulivyoanza, I thought you would come up with concrete views kuhusu tatizo lilipo. Ulianza kunipa moyo uliposema Wananchi wa Mtwara wana hoja ya msingi but to my dismay, you ended up agonising badala ya kusema ni hoja ipi na wewe unaisupport kwa misingi ipi. Nitakuwa mtu wa ajabu sana kama, pamoja na kusoma vizuri kama ulivyo wewe, nitashindwa kuyaelewa vizuri hayo mambo ya kesi ya Kenya na mauaji ya Rwanda. I thought ungeleta hoja zinazosema ni kwanini unaona wananchi wa Mtwara wana hoja ya msingi. Mimi naona wana hoja fake kwasababu wamebeba hoja ya vyama vya siasa blindly. Mimi, wewe na wengine wote tulioajiriwa, tunakatwa pesa nyingi sana kila mwezi mbona hatujawahi kusema pesa zetu zitumike kuwalipia walimu, manesi, mapolisi wa Dar tu? Inawezekana hata speech ya serikali ju ya hili la kuwa ule umeme utakua na outlets zitazazosaidia wananchi wa Mtwara kuweza kuufaidi, wewe haujaisoma. Instead, umeamua kuziba masikio yako and blindly throw lawama kwa watu. Kama hauna jibu la tatizo hili, basi na wewe ni sehemu ya tatizo. Wewe mwenye fikra huru, lete hoja kuwa ni kwanini unasema wananchi wa Mtwara wana hoja ya msingi na tuijadili. Kama huwezi kuleta, basi hatuna chakujadili and you are also part of the problem because you have not brought us a solution to the problem.
kwa nini uiseme chadema we mbwiga?
kibonde mara zote huwa anavuka zile rules and traditions za utangazaji. Shida yake ni kuwa siku zote yeye huegemea upande wa serikali. Haijawai kutokea akatoa opinion yakuipinga serikali hata kama ni dhahiri kwa kila mmoja - hata kwa mtoto wa darasa la saba - kuwa serikali imekosea ktk jambo linalojadiriwa. Tatizo la watangazaji wetu - na hata wandishi walio wengi - ni kuwa wengi wao hawana ambitions zakukuwa ktk kazi zao. Wengi huitumia fani yao (uandishi na utangazaji) kama ngazi tu ya kuwapeleka kule watakako. Mpate mtangazaji kijana wa citizen tv ya kenya na ntv akimhoji kiongozi wa serikali, harafu pata picha ya yule mze wa kipindi cha dakika 45 cha itv naye akimhoji kiongozi wa serikali ndipo utakapoona tofauti ilivyo kubwa ktk career growth aspirations kati ya hawa wetu na wale wa wenzetu. Hapa kwetu utangazaji ni ngazi ya kumwezesha mtangazaji kujulikana ili wakubwa wampatie kazi na wakati kwa wenzetu utangazi ni kazi ya kumwezesha mtu kuishi vizuri na hivyo, anakuwa na hamu ya kujiendeleza kiutangazaji.
Hata hivyo, ktk hili binafsi nimekuwa upande wa kibonde. Kwa mara ya kwanza nipo upande wa serikali kwani naamini wananchi wa mtwara wamekurupuka na wanaendeshwa na interests za watu bila kujua. Rasilimali za tanzania ni za tanzania. Siyo za watu wa eneo zinakopatikana tu. Ndio maana wote tunalia mwishoni mwa mwezi na makato makubwa ya pay as you earn na pesa hizi hupelekwa kila sehemu ya nchi hii siyo dar tu.
Siyo wana Kusini. Ni watoto wa Mtwara mjini. Waliingia kichwa kichwa kwenye maandamano yenye nia yakupata umaarufu wakisiasa bila kufanya analysis ya matokeo ya agenda yao kwa jamii yenye maono tofauti. Hawakuweza kufanya analysis kujua malipo ya manesi, walimu, mapolisi pamoja na dawa wanazotumia mahospitalini, vitabu shuleni etc pale Mtwara mjini yanatoka wapi. Wangeweza kufanya hilo, wangepata kugundua kuwa pesa hizo kwa kiasi kikubwa hutokana na makato ya Pay as you earn ya watu wanaofanya kazi Tanzania popote pale na zaidi, wale wa Dar. Hilo lingeweza kuwafanya waelewe kuwa rasilimali za nchi hii ni za Watanzania wote na siyo wa eneo zitokako. Ngugu zangu hawa pia wangeweza kujua kuwa kwa vile mkopo wa ujenzi wa bomba hilo umetoka China at a very cheap price, then chances are that the force for them to say NO to the project, may have some western influences, kupitia vyama vilivyoamua kuwatumia. Kama wasomi, we have every reason to say NO to this type of Imperialism. Hayo ni miongoni tu mwa mambo ambayo wakazi wa Mtwara mjini na wale walioletwa kwa malori na vyama vya siasa waliyapuuzia. Besides, tumeambiwa mara kadhaa kuwa hawa ndugu zetu kwa sasa wana-surplus ya umeme by 5MW wakati sisi ndugu zao huku unakatikakatika kila siku, hivi, kuna shida gani kwa wao kutulea ndugu zao sisi ambao nasi ni Watanzania? Je, huu siyo uchoyo? Kama ni kazi, ni Mtanzania yupi anayekatazwa kwenda popote pale Tanzania kutafuta kazi au kusoma na akitaka kuhamishia ule utaalam alioupata kule alikozaliwa? Mimi ni mwenyeji wa Mbinga kule kusini ila naishi Dar na wewe pia inawezekana siyo mzaliwa wa Dar ila unaishi Dar. Jirani yangu hapa naye ni Mmachinga wa Mtwara mjini ila anaishi Dar. Dar ni ya Watanzania wote. Haya yote waliyapuuzia na wakatanguliza sera ya uchoyo blindly.
Angeegemea CHADEMA mngelia kama mnavyolia humu au ndiyo kwanza mngemwagia misifa kedekede?
Kibonde mara zote huwa anavuka zile rules and traditions za utangazaji. Shida yake ni kuwa siku zote yeye huegemea upande wa serikali. Haijawai kutokea akatoa opinion yakuipinga serikali hata kama ni dhahiri kwa kila mmoja - hata kwa mtoto wa darasa la saba - kuwa serikali imekosea ktk jambo linalojadiriwa. Tatizo la watangazaji wetu - na hata wandishi walio wengi - ni kuwa wengi wao hawana ambitions zakukuwa ktk kazi zao. Wengi huitumia fani yao (Uandishi na utangazaji) kama ngazi tu ya kuwapeleka kule watakako. Mpate mtangazaji kijana wa Citizen TV ya Kenya na NTV akimhoji kiongozi wa serikali, harafu pata picha ya yule Mze wa kipindi cha Dakika 45 cha ITV naye akimhoji kiongozi wa serikali ndipo utakapoona tofauti ilivyo kubwa ktk career growth aspirations kati ya hawa wetu na wale wa wenzetu. Hapa kwetu utangazaji ni ngazi ya kumwezesha mtangazaji kujulikana ili wakubwa wampatie kazi na wakati kwa wenzetu utangazi ni kazi ya kumwezesha mtu kuishi vizuri na hivyo, anakuwa na hamu ya kujiendeleza kiutangazaji.
Hata hivyo, ktk hili binafsi nimekuwa upande wa Kibonde. Kwa mara ya kwanza nipo upande wa serikali kwani naamini wananchi wa Mtwara wamekurupuka na wanaendeshwa na interests za watu bila kujua. Rasilimali za Tanzania ni za Tanzania. Siyo za watu wa eneo zinakopatikana tu. Ndio maana wote tunalia mwishoni mwa mwezi na makato makubwa ya Pay As You Earn na pesa hizi hupelekwa kila sehemu ya nchi hii siyo Dar tu.