Kibonde sio lazima ueleze kila kitu wewe

hps300

Senior Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
170
Reaction score
152
Ephrahim Kibonde wa cloud sio lazima uelezee kila kitu wewe, mnakuwa watatu kwenye kipindi acha wanzako au mwenzako anayekuwa na uelewa fulani muwapo studio aelezee, na rudia tena siyo lazima wewe. Mara nyingi nimekuwa nikiona comment humu ndani watu wakikuelezea ktk mtazamo hasi. Lakini wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa upuuzwe, binafsi nimeona siwezi kukupuuza kwani umeendelea kupotosha katka mambo mengi sana uwapo studio na mengi ni mambo madogo lakini yenye madhara makubwa kwa kizazi kijacho.

Mfano jana wakati unaongelea tukio la yule jamaa wa Mbeya ambaye alifariki kutokana na kumeza samaki aina perege. Tukio lilikuwa sahihi make lilithibitishwa na RPC wa mkoa husika.

Hoja yangu ni pale ulipokuwa unajaribu kuongelea ama kumwelezea perege na ukadai unamfaham vizuri perege ni Samaki ambaye anweza ishi hata kwenye tope, ama anafuata Tope pindi maji yakikauka. Kibonde sio kweli watafute watalaam wa mammbo ya viumbe wa majini, kwa maana ya ziwani na bahari watakusaidia kufahamu vizuri zaidi. Pia jenga utamaduni wa kusoma ili uwe na uelewa ma mambo zaidi.
 
c71117a8fad089e9a5397fb94ea4fc90_530x320.png
 
Huyu jamaa ananiboaga sana mpaka siku hizi sisikilizi jahazi!! Kila kitu anajifanya anakijua alafu ubaya ni mbumbumbu kwenye masuala mengi anayojifanya kuyajua..
 
Ephrahim Kibonde wa cloud sio lazima uelezee kila kitu wewe, mnakuwa watatu kwenye kipindi acha wanzako au mwenzako anayekuwa na uelewa fulani muwapo studio aelezee, na rudia tena siyo lazima wewe. Mara nyingi nimekuwa nikiona comment humu ndani watu wakikuelezea ktk mtazamo hasi. Lakini wengi wamekuwa wakisisitiza kuwa upuuzwe, binafsi nimeona siwezi kukupuuza kwani umeendelea kupotosha katka mambo mengi sana uwapo studio na mengi ni mambo madogo lakini yenye madhara makubwa kwa kizazi kijacho.

Mfano jana wakati unaongelea tukio la yule jamaa wa Mbeya ambaye alifariki kutokana na kumeza samaki aina perege. Tukio lilikuwa sahihi make lilithibitishwa na RPC wa mkoa husika.

Hoja yangu ni pale ulipokuwa unajaribu kuongelea ama kumwelezea perege na ukadai unamfaham vizuri perege ni Samaki ambaye anweza ishi hata kwenye tope, ama anafuata Tope pindi maji yakikauka. Kibonde sio kweli watafute watalaam wa mammbo ya viumbe wa majini, kwa maana ya ziwani na bahari watakusaidia kufahamu vizuri zaidi. Pia jenga utamaduni wa kusoma ili uwe na uelewa ma mambo zaidi.
Tuelezee wewe basi perege ni samaki wa aina gani
 
Hawezi kukuelewa huyo jamaa...tatizo baadhi ya watangazaji wanadhani wanajua kila kitu
 
Back
Top Bottom