Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mgombea wa Urais wa Chama Makini Amshukia Polepole. Aendelea kumnadi Samia.
Katika hali ya kipekee katika siku ya kwanza ya uzinduzi wa kampeni za Chama Makini, mgombea wa Urais wa chama hicho Coaster Kibonde amemshukia vikali Humphrey Polepole.
"Naomba Watanzania wenzangu popote unaponisikiliza waweze kumpuuza huyu Humphrey Polepole. Kwa sababu tumebaini, tumegundua ya kwamba Humphrey Polepole alikuwa ni mmoja wa wanamtandao ambao walikuwa wanataka kumwondoa DK. Samia Suluhu Hassan ili asiwe mgombea wa Chama cha Mapinduzi," alieleza Kibonde mbele ya wafuasi wa chama hicho katika uzinduzi wa kampeni za chama hicho Mazese, Dar es Salaam.