Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 47
yule wa kuliwa tu......hana jipya kabisa, anataka aiingie kwenye payrolll ya mafisadi...
haina haja ya kumlaumu, mbona siye tunatumia nguvu hiyohiyo kumuunga mkono?
Mkuu kula tano,haina haja ya kumlaumu, mbona siye tunatumia nguvu hiyohiyo kumuunga mkono?
Yeye ni presenter wa Radio sasa anawakilisha mapenzi yake au sera ya kituo. Clouds watangaze wazi kuwa wao ni pro CCM kama radio Uhuru sidhani kama kuna mtu atawafatafata tenandio tatizo la chadema wengi.
kila anaepinga wana mu attack....
tena mtu kama kibonde ambae anajulikana wazi ni ccm
sasa wa nini kutumia nguvu nyingi kum attack?????????
common sense is not common kwa kweli..
Yeye ni presenter wa Radio sasa anawakilisha mapenzi yake au sera ya kituo. Clouds watangaze wazi kuwa wao ni pro CCM kama radio Uhuru sidhani kama kuna mtu atawafatafata tena
Mkuu kula tano na weweMkuu kula tano,
Kunawatu humu wangekuwa na uwezo wangekuwa madikteta wabaya sana wanao penda kusikia yale wanayoyapenda tu.
Njoo na hoja na sikulaumu kwa mtazamo wa mwenzako kwakuwa hukubaliani nao, we nani kakulaumu kumuunga mkono zitto?
JF sikuhizi imekuaje watu ni kulia lia tuuu badala ya kuja na hoja.
Kama Kibonde anakuboa nenda kasome tanzania daima lina yale unapenda kusikia
Mkuu unaishi dunia ipi wewe?Yeye ni presenter wa Radio sasa anawakilisha mapenzi yake au sera ya kituo. Clouds watangaze wazi kuwa wao ni pro CCM kama radio Uhuru sidhani kama kuna mtu atawafatafata tena
mkuu kula tano,
kunawatu humu wangekuwa na uwezo wangekuwa madikteta wabaya sana wanao penda kusikia yale wanayoyapenda tu.
Njoo na hoja na sikulaumu kwa mtazamo wa mwenzako kwakuwa hukubaliani nao, we nani kakulaumu kumuunga mkono zitto?
Jf sikuhizi imekuaje watu ni kulia lia tuuu badala ya kuja na hoja.
Kama kibonde anakuboa nenda kasome tanzania daima lina yale unapenda kusikia
vvvvvHuyu Kibonde vp?Ni mzima kweli?Hapa anatumia nguvu nyiiingi kukosoa approach ya Zitto kwenye hili sakata la 'allowances".
Is he paid to attack off?
Yeye ni presenter wa Radio sasa anawakilisha mapenzi yake au sera ya kituo. Clouds watangaze wazi kuwa wao ni pro CCM kama radio Uhuru sidhani kama kuna mtu atawafatafata tena