Kibonde apata ajali Moroco

Pole lakini ninafahamu baadhi ya member wa JF si ajabu wakasema bora angekufa kabisa kisa anawakera.
 

ahaaa ndugu nafikiri ukisema umuhurimii kwa sababu ya kauli zake na pengine watu wanavolalamika kwa kaluli zisizo nzuri unakosea, hapa amepata ajali kama mwanadamu lazima uwe na huruma , lakini kama ajali imetokana na ulevi... hapo kweli hakuna huruma kwani ni uzembe wa kunywa pombe na kundesha... ulive nooooooooooooooooooooma..
 

umeishaambiwa alikua amelewa, kisha mimi sio malaika kusema nisiwe na hisia za kumwombea mabaya, mimi sio yule ageuzaye shavu , damn .
mimi kila awashawishie WaTZ Kuwa watawala ni watu wema, ni mtu hatari sana, hata akifa maiti yake izikwe hata kwenye shimo la choo. simuhurumiii, sikulazimishi uwe na hisia zangu.
 

SIKUUUNGI MKONO..........hata kama tunamchukia lakini hatutaki afariki...............ROHO YA MTU NI MALI KULIKO KITU CHOCHOTE....apone haraka aje tugombane upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, NDIYO MAISHA YALIVYO, HATUWEZI KUWA NA MAWAZO SAWA
 
SIKUUUNGI MKONO..........hata kama tunamchukia lakini hatutaki afariki...............ROHO YA MTU NI MALI KULIKO KITU CHOCHOTE....apone haraka aje tugombane upyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, NDIYO MAISHA YALIVYO, HATUWEZI KUWA NA MAWAZO SAWA

KWANI MIMI niliandika ili uniunge mkono, siandiki ili uniunge mkono, Mwambie Kibonde namuombea mambaya kwakweli
 
badilika, badilika ndugu; jiweke wewe kwenye kiatu chake, ungekuwa wewe ndo hupendwi namna hii ungejiskiaje.. Mungu akusaidie ujue kuwachukulia watu walivyo, kumbuka, hakuna mtu anaweza kuwa kama wewe, kila mtu anatabia yake, jua kupenda wote.. ingawa viwango vya upendo vitatofautiana
 

Mbona anaonekana mwenye njaa mlalahoi kama sisi tu, jeuri ya kuwapumbaza watanzania ataipata wapi au anatumwa kwa ujira koko??
 
Tatizo sijawahi kusikiliza,clouds fm kwani huwa anasemaje????? Msaada pleeeese.
 


Life is too short to hate.
 
ajafa??
naona pesa za mafisadi zinamwangamiza ,pole sana ..kama upo hai ila badilika maneno mengi unamkosea MUNGU na watu wanashindwa kukueleza wanaishia kupiga maombi yakuteketeze pepo ulie nae unaishia kuteseka na BIMA yako ya THIRD PART
POLE
 
Tatizo sijawahi kusikiliza,clouds fm kwani huwa anasemaje????? Msaada pleeeese.

Bora uwe hivyo hivyo,ukisikiliza hii radio halafu ukimsikia huyu jamaa utaharibu siku!!
 

mimi nilimshangaa sana sana alivyofanya kipindi redioni kumsafisha David Mataka pale ATC alipodai anastaafu na kuwa bilaq hata aibu mwanaume mzima eti anajivunia kuondoka ATC na kuwa ameacha ATC ikiwa na nembo mpya,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…