Hon. Edward Ngoyai Lowassa ndiye rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015. Ukweli mchungu ila inabidi uumeze hivyohivyo.Hivi clouds kwa nn unampa mic huyu jamaa, jioni kwenye Jahazi anasema' mara baada ya Lowassa kuwasiri Kibonde anadai waandishi wea redio ikiwemo ya clouds walimfuata mwenyewe Airport bila kuitwa wakati Lowassa aiita vyombo vya habari. Huyu jamaa anakashifu vyombo vya habari wakati yeye anatumia kupitia habari ya Lowassa anasoma ktk magazeti, na radio huku akijua Clouds pia walikuwepo. Ondoa mti huyu
Ukitaka kuwa na mafanikio kwenye siasa za bongo inabidi uwe upande wake, bila hivyo lazima uangukie pua. Lowasa kajiimarisha sana kwenye kila idaraHon. Edward Ngoyai Lowassa ndiye rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015. Ukweli mchungu ila inabidi uumeze hivyohivyo.
KIBONDE=Kiswahili cha mtaa means Lofa, mjinga na hana lolote. Huenda jina lake na matendo/ maneno yake huakisi anachokiwaza, by the way huyu jamaa alishanichefua tangu siku nyingi sana (esp) katika harakati za uchaguzi mkuu 2010 alikuwa anazungumza upuuzi mtupu na akanifanya nigundue kuwa ktk Clouds FM naweza kusiliza vipindi viwili tu (sports extra na xxL).
Hivi Kibonde ni jina lake au kuna mtu alimtukana huko shule kwa ukilaza afu jina likashika. Huwa linaongea tu. Sisikilizi walakuangalia clouds sababu yake. Damn you Kibonde.KIBONDE=Kiswahili cha mtaa means Lofa, mjinga na hana lolote. Huenda jina lake na matendo/ maneno yake huakisi anachokiwaza, by the way huyu jamaa alishanichefua tangu siku nyingi sana (esp) katika harakati za uchaguzi mkuu 2010 alikuwa anazungumza upuuzi mtupu na akanifanya nigundue kuwa ktk Clouds FM naweza kusiliza vipindi viwili tu (sports extra na xxL).
Ukitaka kuwa na mafanikio kwenye siasa za bongo inabidi uwe upande wake, bila hivyo lazima uangukie pua. Lowasa kajiimarisha sana kwenye kila idara
Kama umeshakula kakojoe ukalale toto wewe.Mods tafadhali hamishieni huu upuuzi JF chitchat.
Njoo nikukojolee!!.....Kama umeshakula kakojoe ukalale toto wewe.
Yaani wee jamaa kila thread inayomuhusu Lowassa ni lazima utokee!....duu kazi unayoKama umeshakula kakojoe ukalale toto wewe.