NYENJENKURU
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 1,067
- 299
View attachment 57168Kama keki tu inamnogea namna hii, itakuwaje makombo ya vijipesa vya CCM?
kibonde kafanya jahazi likose mvuto tena mimi sisikilizi
NDUGU Lekakui if you cant convience confuse plizzMimi nadhani mmemuelewa KIBONDE vibaya,huwa mimi napenda sana kusikiliza kipindi cha JAHAZI na kweli ni kizuri,kuhusu kibonde yeye yuko huru kusifia chama chochote kinachoomba kufanyiwa hivyo,nikiwa na maana kwamba kama wapepewa hela za kusema kitu na wao wako kibiashara why not?CDM pia wanaweza fanya hivyo?naomba jamani msiweke vitu ambacho haviko huku,kama afya ya mtu sasa hapo ndo akili ndogo inaongoza akili kubwa,inaingiaje hapa kwenye huu mjadala
Shagiguku mkuu nimeingiwa na wasiwasi na afya yako mbona umekuwa mkali hivi mbona ni mambo madogo sana karne hii.kazi kweli kweli mkuukuna ubaya gani kutumia ARVs....!!!!??? mbona ARVs ni kama aspirin vile huyu anayeingiza hoja za afya ya kibonde hapa ni DHAIFU kifikira. usijadili watu jadili ISSUES.....!
sasa kama anatumia wewe inakuhusu nini, hapo kwenye familia yako wangapi wanatumia hizo ARVs, anza kujadili wa hapo nyumbani kwenu kwanza, hivi hujui kama kibonde anatumia ARV kesho na keshokutwa ukisikia aliwahi kutembea na dada yako utakuja kutueleza kuwa ""dada yangu anatumia ARVs.....!!!???"""
mkuu jamaa kasharidhika na pesa ya kula haimsumbui ndio maana ana kiburi...laiti kama angekumbuka shida na tabu za watanzania wenzake hasingethubutu kuwa hivyo alivyo.Huyu Kibonde ni dhaifu nafikiri mpaka ubongo wake!
Huyu mshikaji Mi simpendi kabisa kwa sababu ya utumwa wake alioukubali ndani ya mafisadi na kujionyesha wazi kuwa ni gamba full.
Huyu ni zigo kwa Taifa letu!
kibonde ni dhaifu kimwili na kiakili
Mtangazaj wa clouds fm Ephraim Kibonde leo jioni katika kipindi cha jahaz amemtetea Ngeleja kwa kauli yake ya kukashifu bajeti ya kambi ya upinzani na kuiita bajeti mbadala kitu ambacho Tundu Lissu alikikana na kujbu mapigo kwa kusema kutokana na kanuni za bunge hamna kitu kinachoitwa bajet mbadala na spika wa bunge kukubaliana na kauli ya Lissu.kibonde anasema maige anahak ya kuchangia alivyochangia ila kambi ya upinzani walishindwa kustahimili kaul ya maige.