mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 428
Sio dini ni dhehebu, dini ni kubwa na kuna madhehebu kibaoHii Dini ni ya kitapeli sana ila aha waibiwe tu maana wanajidai wamesoma sana kuna hawajaeleimika kabisa
Ndio swali la kujiuliza hiliLakini wanaotoa hizo hela mbona hawalalamiki?
Kama hawalalamiki taarifa zilifikaje kwa mamlaka?Lakini wanaotoa hizo hela mbona hawalalamiki?
Taarifa zimefika ngapi na kwanini ya huyu inapewa kipaumbele sana na wakati za CAG zinarundikana tu miaka yoteKama hawalalamiki taarifa zilifikaje kwa mamlaka?
Mamlaka iliona wakati anaombea anampiga teke anayeombewa. Maana Ile video ilisambazwa ndugu.Kama hawalalamiki taarifa zilifikaje kwa mamlaka?
weka namba yake na mimi nimtege!!!Nabii kiboko ya wachawi aingia mtegoni na kuthibitika kua kweli ni tapeli baada ya Mwandishi kutoka Mwananchi Digital kupiga simu kwa kiboko ya wachawi na kujifanya mgonjwa na kiboko ya wachawi aliomba shilingi milioni kumi ili amponye.
Soma pia
>Kufungiwa kwa kanisa la “Kiboko ya Wachawi” pongezi kwa Serikali
Ebu sema neno tafadhaliAisee
[emoji419][emoji419][emoji375]Wajinga ndio waliwao... Mjini akili tu, nguvu utalima lami!?
MASHETANI WAMEIINGILIA DINI YA KIKRISTO NA WANATAKA KUIANGUSHA, NI BUDI WAKRISTO KUSIMAMA IMARA KUISIMAMIA DINI HII, SHETANI APOKONYWE DINI YETU, IRUDISHWE KWENYE MSINGI YAKE MIKUU, THANKS SO MUCH MASAUNI ZIDI KUFUNGIA MATAPELI HAYA, MAJIZI!Hii Dini ni ya kitapeli sana ila aha waibiwe tu maana wanajidai wamesoma sana kuna hawajaeleimika kabisa