kiboko ya tego la kunasiana

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
4,641
Reaction score
3,686
baada ya tukio la temeke....staili mpya ya kutembea na mke wa mtu....unaanza kutia kidole kikinasa tu unakata kidole huyooo unasepa
 
hii habari ya kunatana naona ngumu kuamini labda hadi nione kwa macho.
 
Itanasia condom, then unatoa ndude yako na kula kona!!

Halafu masharti ya huu mtego, anayeweza kutegua ni mwenye mali tu, sasa huyo mwanamke atamwambiaje mumewe? yaani condom imeingiaje?
 
dawa ya tego hilo weka panga mlangoni wakati unaingia kwake panga likikatika usigonge ngozi sepa zako hapo jua kategwa
 
kwa wewe usiyeamini kuhusu kunatana, angalia video hii,
 
Last edited by a moderator:
Huyu kashajaribu kwa wanawake watatu na kafanikiwa kuinusuru ndude yake mara tatu mfululizo.

 
Tutakuwa na raia wengi wasio na vidole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…