Kiboko ya Dr.Bashiru ni wakili msomi Fatma a.k.a Shangazi

Fatuma anasahau babu yake mzee Karume alivyoikanyaga katiba ya Zanzibar Na kumshikia mapanga Na mashoka kumkimbiza kiongozi wa Zanzibar aliyechaguliwa kwa kura ili yeye Fatuma ale mema ya Zanzibar .Kisheria hilo la babu yake kupindua serikali iliyochaguliwa kwa kura kule Zanzibar kama mwanasheria nguli koko analiongeleaje hilo lilikuwa sawa?
Ndoma hata mashekhe na padri kusema fateni maandiko niyasemayo sio matendo niyafanyao
Kudenda babu zake na baba zake hakumuondolei kuyaongelea hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunawalalamikia baadhi watendaji wa serikali kufanya siasa huku tukishangilia wale wanaofanya kile kile lakini kwa wapinzani wetu....

Nilitegemea TLS iwe na nguvu zaidi kwenye harakati za mageuzi ya sheria mbalimbali mbovu lakini Rais wake yuko twita kila siku akilumbana na akina Polepole. In short CCM wanafanikiwa kum keep busy na ujinga ujinga usio na madhara kwao ....

Sent using Jamii Forums mobile app

..mbona hulalamiki Jiwe anapotumia rasilimali za taifa kwenye shughuli za ccm?

..hayo anayoyafanya Fatuma Karume ni nje ya majukumu yake kama Raisi wa TLS.

..Kuhusu TLS kupambana na sheria mbovu, ukumbuke kwamba sheria hizo zimeandikwa ili kuiwezesha CCM kufanya " mambo yake " dhidi ya waTanzania.

..Kwa hiyo unapopendekeza TLS ipambane dhidi ya sheria mbovu indirectly unapendekeza TLS ipambane na CCM.
 
Mageuzi yanaanza na wewe. Hakuna mtu wa kudai hayo mageuzi sijui ya sheria mbovu bila ya wewe kuanzisha n TLS itakupa uwakilishi kortin.
 
Fatuma anasahau babu yake mzee Karume alivyoikanyaga katiba ya Zanzibar Na kumshikia mapanga Na mashoka kumkimbiza kiongozi wa Zanzibar aliyechaguliwa kwa kura ili yeye Fatuma ale mema ya Zanzibar .Kisheria hilo la babu yake kupindua serikali iliyochaguliwa kwa kura kule Zanzibar kama mwanasheria nguli koko analiongeleaje hilo lilikuwa sawa?
Wewe ulikuwepo? Kuna serikali ilipinduliwa kabla ya Karume kuingia madarakani? Au ndio kuishia hoja, unaleta vihoja?
 
Tunataka comment yake kama ilikuwa sahihi Kisheria .Yeye kama Raisi wa TLS ni vyema ahojiwe atoe comment kuhusu hilo
Haya ya mababu hayana nafasi kwa sasa katika Tanzania ya viwanda tunayoitaka. Wewe ya babu yako yakoje. Tuangalie hoja iliyopo kwa sasa, hayo ya waliokwisha kuwa udongo hayatusaidii. Mkuu jitahidi kujikita kwenye hoja kuliko hizo historia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fatma Karume ni jembe na uelewa wake ni mkubwa sana lakini tunamsikia sana kwenye kuikosoa CCM kuliko majukumu yake mengine kama Rais wa chama cha wanasheria. Awaachie Chadema au awape nondo za kuishambulia CCM huko mlango wa nyuma ili abaki na majukumu yake ya msingi unaomtaka kuwa neutral.

Mnaomshangilia sasa tusipige kelele kesho CCM wakisimika mtu wao huko akaanza kuiponda Chadema kila kukicha. Let us practice what we preach ...

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa mtazamo wako MTAZAMO
 
Fatuma anasahau babu yake mzee Karume alivyoikanyaga katiba ya Zanzibar Na kumshikia mapanga Na mashoka kumkimbiza kiongozi wa Zanzibar aliyechaguliwa kwa kura ili yeye Fatuma ale mema ya Zanzibar .Kisheria hilo la babu yake kupindua serikali iliyochaguliwa kwa kura kule Zanzibar kama mwanasheria nguli koko analiongeleaje hilo lilikuwa sawa?
Hilo siyo la kumuuliza yeye. Ulipaswa umuulize aliyepindua wakati akiwa hai, na kwa sasa hakuna wa kumuuliza tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunawalalamikia baadhi watendaji wa serikali kufanya siasa huku tukishangilia wale wanaofanya kile kile lakini kwa wapinzani wetu....

Nilitegemea TLS iwe na nguvu zaidi kwenye harakati za mageuzi ya sheria mbalimbali mbovu lakini Rais wake yuko twita kila siku akilumbana na akina Polepole. In short CCM wanafanikiwa kum keep busy na ujinga ujinga usio na madhara kwao ....

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu mwaka utaisha hivi hivi bila kufanya lolote la maana huko TLS!

Vile vile, watu wakisema hiyo TLS ni pro-CHADEMA/ opposition na anti-CCM, watakuwa wamekosea?
 
Halafu mwaka utaisha hivi hivi bila kufanya lolote la maana huko TLS!

Vile vile, watu wakisema hiyo TLS ni pro-CHADEMA/ opposition na anti-CCM, watakuwa wamekosea?

Sana mno ,yani kwa kuikosoa Serikali tu ndio msema TLS ni pro-Chadema ?..Big No ,wapo wanao ikosoa Serikali na hawana Vyama.Nyie tu na Mapenzi yenu ndio mmeshindwa kutofautisha Maoni ya Watanzania.
 
[B]fatma karume aka Shangazi[/B]‏ @[B]fatma_karume[/B]

fatma karume aka Shangazi Retweeted Bashiru Ally

CCM has a written constitution which is crystal clear on how Ccm obtains its candidates. U r required to ADHERE to it until such time as it’s amended. U don’t MAKE IT UP AS U GO ALONG and then rely on nonsensical arguments which give u the power to do as U please. I don’t buy it!

fatma karume aka Shangazi added,

Bashiru Ally @Dr_Bashiru_Ally

Unwritten constitution is the result of historical development. It is never made by party members or any party organ at a definite stage of history, nor is it promulgated on a particular date. It is, therefore, sometimes called an evolved or cumulative constitution.
To be sincere,Manyau nyau makes a big and sensible impact on me than the so called doctor Bashir or Bashiri!
It has become so difficult to differentiate between the learned doctor and the self proclaimed one( the Manyau nyau,Maji marefu,Remmy Ongara vs Mwakiembe,Kabundi,Benson,Bashir and the like)! The latter are a disgrace to the nation.
 
Hilo siyo la kumuuliza yeye. Ulipaswa umuulize aliyepindua wakati akiwa hai, na kwa sasa hakuna wa kumuuliza tena
Yeye ni mwanasheria tena Raisi wa TLS Kisheria Yale mapinduzi ya babu yake Zanzibar yalikuwa halali Kisheria? Nataka comment yake sio yako
 
Fatuma anasahau babu yake mzee Karume alivyoikanyaga katiba ya Zanzibar Na kumshikia mapanga Na mashoka kumkimbiza kiongozi wa Zanzibar aliyechaguliwa kwa kura ili yeye Fatuma ale mema ya Zanzibar .Kisheria hilo la babu yake kupindua serikali iliyochaguliwa kwa kura kule Zanzibar kama mwanasheria nguli koko analiongeleaje hilo lilikuwa sawa?
Kumbe huna limit, unaongea kila kitu hata kama kitaigharimu nchi.
 
Back
Top Bottom