koyola
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 2,645
- 1,747
Ndoma hata mashekhe na padri kusema fateni maandiko niyasemayo sio matendo niyafanyaoFatuma anasahau babu yake mzee Karume alivyoikanyaga katiba ya Zanzibar Na kumshikia mapanga Na mashoka kumkimbiza kiongozi wa Zanzibar aliyechaguliwa kwa kura ili yeye Fatuma ale mema ya Zanzibar .Kisheria hilo la babu yake kupindua serikali iliyochaguliwa kwa kura kule Zanzibar kama mwanasheria nguli koko analiongeleaje hilo lilikuwa sawa?
Kudenda babu zake na baba zake hakumuondolei kuyaongelea hayo
Sent using Jamii Forums mobile app