Kibo Complex ni ya nani?

Kibo Complex ni ya nani?

yaan watu ni wajinga kwel,nyie mnakaa na kuanza kujiuliza kale kafloo kamoja na kale anakonyanyua kanyuma maswali?kale ni kadogo sana ni ka msaki,kachaga moja hivi alikuwa kuli tegeta kwa ndevu zamani,baadae akapata mtaji akafungua pale pale tegeta mashine ya kusaga sembe na ndipo alipopata vihela kidogo akaanzisha kampuni ya kufyatua matofali pale pale kibo lakini baada ya kufanya kwa muda alihama pale na kuhamia maeneo ya nadhani ni dawasa,na pale kibo watu wakajua kafilisika kumbe alikuwa anajipanga kuja kuajenga kale kafloo kamoja kanako wauma.pia anamiliki chuo cha ualimu kisanga na pia ni agent wa cement za twiga ambavyo vyote hata wewe unaweza kuvifanya.wale mnaosema ni kamjengo ka mama anna mkapa,ni kumdharirisha mama wa watu kwa sababu hawezi kumili kajumba kanyasi kama kale.fuatilia mijengo ya kishimba au lakairo mwanza,au libakhresa au limengi au lidokta slaa kule mbweni au limbowe lile linalomiliki mbez beach high skul au limama rwakatale au limohamed au li
hata humjui una matatizo ya akili nadhani.
Anaitwa Valence Msaki,Form Six Ilboru mtu wa kirua vunjo,hakutaka kuendelea chuo akaja kawe,kaka yake Vandelin Msaki alikua na duka na mashine ya kusaga kwa sasa ndiye mwenye Hotel mapambano Sinza,kaka mtu akampa mtaji sh 42000 tuu jamaa akawa na mashine mwananyamala,tegeta anauza sembe ya ugali kwa baiskeli mwenyewe,akaingia ktk cement (twigacement)na matofali,usafirishaji malori,ana shule Wazo Hill sekondari,Kibo complex na viwanja kibao.Jamaa ni hard worker haswa pia ni risks taker siyo ktk biashara haramu hapana!pia amemnyanyua mdogo wake Stephen naye ana tipper za kufa mtu na yard ya tsh 300m.Amekua na nidhamu na mikopo ya crdb sana hata akitaka mkopo wa tsh 5bn anapewa
 
msaki hawezi kuniajiri.mimi ninajilipa interms of dollar.ni nani anae weza kuniajiri.nimeji ajiri na sidhani katika maisha yangu naweza kuja omba ajira.msaki huwa ananitafuta ili niweze kumshaur na angalau akue kidogo kiuchumi

Anakutafuta kivipi, mbona nimemuuliza kuhusu jina lako kakana kabisa? Anaye file tax returns si wewe na wala jina lako haliko kwenye orodha ya NBAA
 
Ni ya mchaga mmoja mwenye shule ya sekondari WAZO. anaitwa MSAKI ila nasikia hiyo ni danganya toto tu ni ya mama ben
 
Chuo cha ualimu sio cha kwake na wala hahusiki hata kidogo, ana biashara ya hardware tgt kwa ndevu, biashara ya kufyatua tofali, wakala wa tbl maeneo ya nyaishozi tegeta, anamiliki shule ya sekondari wazo. Wakala wa cement kiwanda cha wazo, ana kiwanda cha kutengeneza mifuko
 
Masaki hakuwa kuli amesoma mwaka mmoja mbele yangu Ilboru special School kamaliza mwaka 1992 form 4. Hakuwa mlala hoi kama unavyosema ni middle class kama wanafunzi wengine wa Ilboru

Anaitwa Msaki ba si Masaki
 
msaki hawezi kuniajiri.mimi ninajilipa interms of dollar.ni nani anae weza kuniajiri.nimeji ajiri na sidhani katika maisha yangu naweza kuja omba ajira.msaki huwa ananitafuta ili niweze kumshaur na angalau akue kidogo kiuchumi

Mkuu una undugu na Issa Mohamed?
 
Last edited by a moderator:
msaki hawezi kuniajiri.mimi ninajilipa interms of dollar.ni nani anae weza kuniajiri.nimeji ajiri na sidhani katika maisha yangu naweza kuja omba ajira.msaki huwa ananitafuta ili niweze kumshaur na angalau akue kidogo kiuchumi

Samahani wewe ni Isha Ramadhan (Mashauzi) yule muimba taarabu?
 
Hiki kitendo cha kutumia hili jamvi bila ya kuonana kwa sura kunasaidia sana. Yaani kunaaokoa mengi mno, mtu anaweza kusema chochote cha kujisifia, lakini ndo hivyo tena hatuwezi jua sisi wengine.
Mkuu umenichana mbavu, sisi wengine tunachati JF huku tupo juu ya miti kupata Internet lakini ukiniuliza nitakwambia nipo jikoni kwa jk.
 
Masaki hakuwa kuli amesoma mwaka mmoja mbele yangu Ilboru special School kamaliza mwaka 1992 form 4. Hakuwa mlala hoi kama unavyosema ni middle class kama wanafunzi wengine wa Ilboru

nimeshangaa sana kuona Issa Ramadhani anasema msaki alikua kuli. Humu ndani watu waongo sana. Msaki kwao utajiri na utafutaji hela uko longtime. Baba yake mzazi alikua na mashine za unga na alikua distributor wa sembe even before sembe chapa jogoo ya kina lukaza kuanzishwa. Huyu jamaa fighter wa longtime!
 
yaan watu ni wajinga kwel,nyie mnakaa na kuanza kujiuliza kale kafloo kamoja na kale anakonyanyua kanyuma maswali?kale ni kadogo sana ni ka msaki,kachaga moja hivi alikuwa kuli tegeta kwa ndevu zamani,baadae akapata mtaji akafungua pale pale tegeta mashine ya kusaga sembe na ndipo alipopata vihela kidogo akaanzisha kampuni ya kufyatua matofali pale pale kibo lakini baada ya kufanya kwa muda alihama pale na kuhamia maeneo ya nadhani ni dawasa,na pale kibo watu wakajua kafilisika kumbe alikuwa anajipanga kuja kuajenga kale kafloo kamoja kanako wauma.pia anamiliki chuo cha ualimu kisanga na pia ni agent wa cement za twiga ambavyo vyote hata wewe unaweza kuvifanya.wale mnaosema ni kamjengo ka mama anna mkapa,ni kumdharirisha mama wa watu kwa sababu hawezi kumili kajumba kanyasi kama kale.fuatilia mijengo ya kishimba au lakairo mwanza,au libakhresa au limengi au lidokta slaa kule mbweni au limbowe lile linalomiliki mbez beach high skul au limama rwakatale au limohamed au li

Uko sahihi, ni ya Msaki, ila hakai Dawasa anakaa Basihaya....pia ana gereji pale pale Basihaya, msaada gereji anaendesha X-Trail ya kijivu, huyo ambae ni mkewe, alikuwa house girl wake zamani kabla hajakamata mpunga.
Anaetaka namba zake aniambie...
 
msaki hawezi kuniajiri.mimi ninajilipa interms of dollar.ni nani anae weza kuniajiri.nimeji ajiri na sidhani katika maisha yangu naweza kuja omba ajira.msaki huwa ananitafuta ili niweze kumshaur na angalau akue kidogo kiuchumi

maelezo inayoyatoa mtu yeyote mwelewa anajua wewe ni wa design gani pole sana
 
  • Thanks
Reactions: amu
hata humjui una matatizo ya akili nadhani.
Anaitwa Valence Msaki,Form Six Ilboru mtu wa kirua vunjo,hakutaka kuendelea chuo akaja kawe,kaka yake Vandelin Msaki alikua na duka na mashine ya kusaga kwa sasa ndiye mwenye Hotel mapambano Sinza,kaka mtu akampa mtaji sh 42000 tuu jamaa akawa na mashine mwananyamala,tegeta anauza sembe ya ugali kwa baiskeli mwenyewe,akaingia ktk cement (twigacement)na matofali,usafirishaji malori,ana shule Wazo Hill sekondari,Kibo complex na viwanja kibao.Jamaa ni hard worker haswa pia ni risks taker siyo ktk biashara haramu hapana!pia amemnyanyua mdogo wake Stephen naye ana tipper za kufa mtu na yard ya tsh 300m.Amekua na nidhamu na mikopo ya crdb sana hata akitaka mkopo wa tsh 5bn anapewa

Umesomeka vizuri sana mkuu, huyu kamanda kuna kipindi alinisaidia sana! Kitu nilichoona kwake ambacho kiko productive sana kimaendeleo, he always hang around with people wenye vision and good ideas kwenye biashara hata akiwa ana moka. Sio kuzungukwa na wapambe wapumbavu tu wasio na hili wala lile.
 
Uko sahihi, ni ya Msaki, ila hakai Dawasa anakaa Basihaya....pia ana gereji pale pale Basihaya, msaada gereji anaendesha X-Trail ya kijivu, huyo ambae ni mkewe, alikuwa house girl wake zamani kabla hajakamata mpunga.
Anaetaka namba zake aniambie...
Msaki mkubwa ndiye anakaa basi haya,huyo wa kibo anakaa nyaishozi.Pia hakuna wake zao ambao walikua ma housegirl walikua nurses.Ukisema alikua house girl ina maana ni mke wa pili au?acha kutakana wanawake wenzako
 
Nasema hayo kwa kuwa mimi ndiye niliyempa wazo la kujenga jengo lile pale baada ya kuona jengo kibaoni lililo na nbc na petro station limepata wateja huku halina viwango huku lile eneo lake la zanzibar akipiga tofali tuu!now is coming ToTAL petrol station at nyaishozi area
 
Back
Top Bottom